issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,781
- 5,205
Umesahau kauli ya Mwenyekiti kuwa madiwani hawakuchaguliwa na n=wananchi? Maana yake mwaka kura tulizopiga hazikuhesabiwa bali walipitisha watu wanaowataka kuanzia madiwani hadi raisSerikali haina mamlaka ya kuikataa miito yetu labda kama haituwakilishi sisi.