Corona: Marekani kuchanja wote kufikia Mei mosi

Corona: Marekani kuchanja wote kufikia Mei mosi

Ni haki yao kuchunguza ila kusema kwamba hazifai hapo ndio kuna walakini...WHO wamesisitiza chanjo iendelee kutimika WHO ndio ina wataalamu wenyewe acha hawa wataalamu wetu hewa wa kina Dr mollel.

Dkt. Mollel anasemekana ni mtalaam wa Meno.

Haya si ndiyo ya kina Prof Mgaya ma zoologists na chanjo za binadamu?

Au kina jiwe na kujua kila kitu?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unashangaa sana? Wewe kichwa hamna aisee.

IMG_20210218_174254_207.jpg


Tuko vizuri.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Tibu magonjwa yako sugu usitutie uoga

Sisi wazima
 
Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa:

Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House

Habari yenyewe ni kuwa:

View attachment 1723811

1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1.

2. Marekani kuwa Corona free by July 4.

Haya si malengo ya kutia moyo kwetu kujifunza?


Kwao pia rais ka sign muswada wa stimulus package kumfikia kila mtu:

View attachment 1723807

Sisi vitu vyote, sema: mafuta ya kula, sukari, kodi, petrol, diesel, hata oil za magari nk bei juu!

Hatuna habari tuna janga.

Kwanini miradi mikubwa isisimamishwe tukahakiki usalama wa maisha yetu sote kwanza?

Hivi kweli nani baina yetu ana uhakika na kesho kwa jinsi tunavyo chukualia poa?

Ninawasilisha
Aibu naona Mimi
 
Back
Top Bottom