Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,326
- 105,743
Mungu wako ni sawa na mtu anayetengeneza gari au kifaa? Uwezo wake unaishia kwenye uwezo wa anayetengeneza gari au kifaa?qsn: sio kila kinachotokea mwenyewe hayupo; fikiria mtihani na alietunga ntihani
qns: sio kweli; faraja inatoka kwa alieombwa; wewe hujamuomba na ni mangapi unaomba kwa binadamu na yanakupa faraja? ashindwe kwako
qns: hiyo ni kanuni yake Allah; kwani wewe kila unachoomba unakipata? lakini unakidhi haja chooni!
qns: kwani ukiwa na watoto wako kisha wakakuomba katika mahitaji yao na ukashindwa kuwapa kwa sababu yeyote ile je? umekuwa katili.
qns: boss umejitahidi kutumia akili za kifalsafa ambazo zina ukomo wa ubongo; hivi ni kweli kila anayetengeneza gari au kifaa amekifanya kikamilifu? au amekifanya kihitajie moja kwa kingine. ni hivyo hivyo wewe amekuumba ukiwa si mkamilifu kwanini usijibadilishe hayo maradhi yasikufike wala kukudhuru?
Unaelewa kuwa, kwa mfano huu unasema kwamba Mungu wako uwezo wake una mwisho, kuna vitu vingine hawezi kufanya?