Corona: Kwa mazingira ya sasa, "Waliokufa au kuugua hawakupenda, hawakuchagua wala si makosa yao"

qsn: sio kila kinachotokea mwenyewe hayupo; fikiria mtihani na alietunga ntihani

qns: sio kweli; faraja inatoka kwa alieombwa; wewe hujamuomba na ni mangapi unaomba kwa binadamu na yanakupa faraja? ashindwe kwako

qns: hiyo ni kanuni yake Allah; kwani wewe kila unachoomba unakipata? lakini unakidhi haja chooni!

qns: kwani ukiwa na watoto wako kisha wakakuomba katika mahitaji yao na ukashindwa kuwapa kwa sababu yeyote ile je? umekuwa katili.

qns: boss umejitahidi kutumia akili za kifalsafa ambazo zina ukomo wa ubongo; hivi ni kweli kila anayetengeneza gari au kifaa amekifanya kikamilifu? au amekifanya kihitajie moja kwa kingine. ni hivyo hivyo wewe amekuumba ukiwa si mkamilifu kwanini usijibadilishe hayo maradhi yasikufike wala kukudhuru?
Mungu wako ni sawa na mtu anayetengeneza gari au kifaa? Uwezo wake unaishia kwenye uwezo wa anayetengeneza gari au kifaa?

Unaelewa kuwa, kwa mfano huu unasema kwamba Mungu wako uwezo wake una mwisho, kuna vitu vingine hawezi kufanya?
 
Kiranga umeshindwa kujibu maswali yangu ya kifalsafa; nikwambie sisi tushapita huko "ukomo wa falsafa ni ubongo" nikwambie Allah yupo na anafahamu kinachoendelea na kitakachokuja mpaka tarehe yako ya kufa; sisi tunaendelea kumuomba huku tukichukua tahadhari zinazotolewa na wataalum na wadau wa afya
qsn: je unajua kuwa ukamilifu wa mtu si ukamilifu wa kitu; ndio hoja ambayo hukuifahamu, mola wetu ni mkamilifu bali sisi si wakamilifu ndio maana nikakupa mfano wa gari.
 
Mimi sielewi kwa nini mpaka leo watu wanajazana kwenye mpira na matamasha ya muziki.

Kuna mechi ya soka ya CAF timu ya South Africa (Mamelodi Sundowns) na timu ya Algeria, North Africa (CR Belouizdad) inakuja kufanyika Tanzania Jumapili ya February 28 2021.

Wote wameogopa kuongeza maambukizi ya Covid-19 kwao, sisi ndio tumeoneka wajinga tumeletewa mechi.

Na sisi kama mazuzu tumekubali. Na watu watajazana uwanjani.

Hao watakaojazana uwanjani, wakipata Covid-19 na kufa, utasema wamekufa bila kutaka?
Mambo ya sweden ...tuna kata usambaaji kwa kuachia kuenea kwanza
 
Ni nani aliekuwa na kosa kwa kipindi cha nyuma?

Yuko hapa:

IMG_20210214_214251_251.jpg
 
Mimi sielewi kwa nini mpaka leo watu wanajazana kwenye mpira na matamasha ya muziki.

Kuna mechi ya soka ya CAF timu ya South Africa (Mamelodi Sundowns) na timu ya Algeria, North Africa (CR Belouizdad) inakuja kufanyika Tanzania Jumapili ya February 28 2021.

Wote wameogopa kuongeza maambukizi ya Covid-19 kwao, sisi ndio tumeoneka wajinga tumeletewa mechi.

Na sisi kama mazuzu tumekubali. Na watu watajazana uwanjani.

Hao watakaojazana uwanjani, wakipata Covid-19 na kufa, utasema wamekufa bila kutaka?
Mambo ya sweden ...tuna kata usambaaji kwa kuachia kuenea kwanza
 
Mambo ya sweden ...tuna kata usambaaji kwa kuachia kuenea kwanza
Sweden wenyewe wamekubali kwamba wamekosea.

It's one thing kuwa Sweden una facilities halafu unaamua tu, quite another kuwa Bongo, unafunga mfungo kwa sababu huna chakula!

Yani Muislamu, unajiingiza katika mfungo wa Kwaresma.

Useme tu unefunga.

Kumbe, sababau ya kweli ni kwamba huna chakula.
 
Mambo ya sweden ...tuna kata usambaaji kwa kuachia kuenea kwanza

Kujaribu kujilinganisha na Sweden ni kutaka kujidanganya mwenyewe.

Sweden na sisi tuna kipi cha kufanana?

Huduma zao za afya twaweza jilinganisha nao kwa namna yoyote?

Sweden hawatelekezi waliowaathirika wakuu wao: wakiwamo wazee, wenye magonjwa mengine na pia walio watumishi kwenye sekta yao ya afya.

Sweden hawafichi takwimu.

Sweden hawajidanganyi na nyimbo za nyungu, juice za jamukaya wala maombi.

Sweden hawaukimbii ukweli kwa kubatiza ugonjwa hatari unaoua majina ya ajabu ajabu.

Sweden walioambukizwa na hata waliyokufa kwa ugonjwa huu viko hadharani.

Au ulimaanisha Sweden ya chattle jombi?
 
Ndio wenye mamlaka wanayafanya hayo ...na ndio njia yao sasa
 
Sweden wenyewe wamekubali kwamba wamekosea.

It's one thing kuwa Sweden una facikities halafu unaamua tu, quite another kuwa Bongo, unafunga mfungo kwa sababu huna chakula!

Yani Muislamu, unajiingiza katika mfungo wa Kwaresma.

Useme tu unefunga.

Kumbe, sababau ya kweli ninkwamba huna chakula.
Sisi si tunapiga maombi mkuu
 
Ndio wenye mamlaka wanayafanya hayo ...na ndio njia yao sasa

Kwa sababu wanayoyafanya hayakubaliki ndiyo maana tutaendelea kupaza sauti na kuwafahamisha kuwa hatukubaliani nao na wanawajibika na madhila yote yanayotokea ndani ya uzembe wao.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hakika, vibaraka wameshupaza akina mwigulu shingo kututisha na kutoa matamko huko twita..

IMG-20210222-WA0003.jpg
 
Nchi ya Ujamaa na Kujitegemea, maombi yanakuja vipi?

Ukishaomba unaondoka kwenye kujitegemea hapo ujue.
Sababu hajaileta yeye na hana uwezo wa kuiondoa...

Alisha sema ana frustrations zake.. mumuache..
 
Back
Top Bottom