Angekufa msela mwenye sura ngumu ka mimi ungepost?
Masikini mtoto mbichi kabisa.hakuna hata wadogo zake,mabinti tuwachangie fedha za rambi rambi?
Huko kwao ndio ipo huku bongo hakuna
Sir God keshafanya yake Tz
Kwani ni vijana gani walokuambia uwasemee hapa kwamba ugonjwa huo hauwahusu? upuuzi mtupu.Nadhani mchango wa maana zaidi ilikuwa ni kuunga mkono juhudi vita dhidi ya Corona badala ya kudhani kuwa, kama vijana huu ugonjwa hautuhusu.
Pia kudhani kuwa wanaokufa ni magonjwa mengine na kuidunisha Corona.
Vinginevyo mchango wako unaweza usiwe na maana sana mkuu.
Yaani umeona hilo ni tukio kubwa la kifo cha mtu mmoja hao waliokufa na bodaboda mbona ni wengi kuliko huyo mrembo mmoja kwenye kundi la watu milioni kadhaa? shida ya corona mnaipromoti sana kama vile kabla ya korona hapakuwa na kifo.Wasiwasi wako tu. Nina post sana kuhusu Corona.
Kitu cha kuona hapa tusijidanganye kuwa hili ni la wazee.
Soma usiishie kuangalia picha na kudhani kuna wagumu na walaini.
Kwani ni vijana gani walokuambia uwasemee hapa kwamba ugonjwa huo hauwahusu? upuuzi mtupu.
Bhakima bhali he???Unawataka majina yao?
Wako Sumve, Ikungu lya bashashi, Gamboshi, vijiko vingine bado nakusanya.
Hii bagosha !!!
Haya bhana ngoja nikupuuze nisije kukuharibia usiku wako bure.Unawataka majina yao?
Wako Sumve, Ikungu lya bashashi, Gamboshi, vijiji vingine bado nakusanya.
Hii bagosha !!!
Sawa msemaji wa familia.Nadhani mchango wa maana zaidi ilikuwa ni kuunga mkono juhudi vita dhidi ya Corona badala ya kudhani kuwa, kama vijana huu ugonjwa hautuhusu.
Pia kudhani kuwa wanaokufa ni magonjwa mengine na kuidunisha Corona.
Vinginevyo mchango wako unaweza usiwe na maana sana mkuu.
Bhakima bhali he???
Sawa msemaji wa familia.
Ila marehemu ni kisu asee,dah,,R.I.P binti Kagame.
Haya bhana ngoja nikupuuze nisije kukuharibia usiku wako bure.
Piga ua lazima nifike kigari niibe manzi mmoja mkali nimlete bongo kwa MagufuliNdoto za mchana endelea kuota Corona kwani inakuhusu?
Kama akili ni nywele maprofesa wengi wasingekuwa na vipara bila kuwasahau madokta ,Ummy anasema ipo na ipo ipo sana, jiwe anasema ipo na ipo ipo sana.
Wewe unadhani mashindano ya nani anayo na nani hana? Na hata umesoma kuelewa mwathirika natokea wapi?
Ama kweli akili ni nywele.