Corona ikiisha utafanya nini?

Corona ikiisha utafanya nini?

Aahahahahahahaa

Polee, baridi imezidi kuwa kali???

Ntachofanya ni kushika mimba ya mapacha 4, mimba ikigoma kushika naenda adopt vitoto 4 vichangaa wawe warithi wangu.

Karantini hii imenipa upako wa kulea... Nimejikuta nawaonea wivu waliokuwa wanaenda maternity leave...
Heeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah tokea imeingia sijakaza aisee yani nina kipururu sio cha nchii
 
Nitaendelea kunawa, haikawii kurudi kama ile ebola ilivyorudi baada ya wauguzi kushangilia
 
Nitajiweka garanteen na mupenzi mupya siku 14,maana nilii-miss sana papuchi
 
Back
Top Bottom