Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 875
Sasa unadhani wewe nimekupendea nini my dia mjukuu?Eti babu si unapendaga vitu natural?
HeeeeeeAahahahahahahaa
Polee, baridi imezidi kuwa kali???
Ntachofanya ni kushika mimba ya mapacha 4, mimba ikigoma kushika naenda adopt vitoto 4 vichangaa wawe warithi wangu.
Karantini hii imenipa upako wa kulea... Nimejikuta nawaonea wivu waliokuwa wanaenda maternity leave...
Najua dia babu,umependa huu unaturalSasa unadhani wewe nimekupendea nini my dia mjukuu?
Vipi unaona wivu?unataka akupendee wewe chura?
Kunywa chai kwanza mkuu usipanicVipi unaona wivu?unataka akupendee wewe chura?
Yaani huu ugonjwa naogooopa
Ukiisha kusema kweli nakituliza kabisaa ,naenda kumuomba x wangu msamaha tuishi pamoja .hii dunia ni ubatili tu
Sent using Jamii Forums mobile app




