Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
Tulia tu siku zinahesabika ingekuwa heri utubu mapema maana baada ya kifo ni hukumu!
Tulia tu siku zinahesabika ingekuwa heri utubu mapema maana baada ya kifo ni hukumu!
That was me b4 but time changed my mind. Bado ninapigania penzi la babuHahahahh mie makeup is not my thing
Babu wa Loliondo au babu yupi?That was me b4 but time changed my mind. Bado ninapigania penzi la babu
Ni kama tu x atakuwa hajafa kwa corona..Yaani huu ugonjwa naogooopa
Ukiisha kusema kweli nakituliza kabisaa ,naenda kumuomba x wangu msamaha tuishi pamoja .hii dunia ni ubatili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapacha utawaweza dear?Aahahahahahahaa
Polee, baridi imezidi kuwa kali???
Ntachofanya ni kushika mimba ya mapacha 4, mimba ikigoma kushika naenda adopt vitoto 4 vichangaa wawe warithi wangu.
Karantini hii imenipa upako wa kulea... Nimejikuta nawaonea wivu waliokuwa wanaenda maternity leave...
Na Corona hii umegegedwa??nitakua nalea mimba quarantine + baridi =*#£#£%%#@
Ndo kazi tunayofanya hapa ndani
Eti babu si unapendaga vitu natural?Eti umeniita my dear mjukuu?