Mabibi na Mabwana hapa ni Dar katika mapambano dhidi ya Corona.
Kwa hakika hawa wameonyesha njia kwani hizi ni jitihada binafsi baada ya kutambua ugonjwa huu upo na biashara ni asubuhi.
Kama vifaranga vya kuku vile kwa hakika hawa wana chakura kivyao kivyao:
Wa mikoa mingine zingatieni. Mkisubiri kupatiwa maelekezo kwa mwendo uliopo yanaweza yasipatikane:
Dar wameonyesha njia katika namna ambayo kama wangekuwa kwenye kile kikao na yule mkurugenzi, wasingekubali kuamrishwa kuzivua.
Kongole kwenu wanaume na wanawake wa Dar. Kwa hakika mu wa kupigiwa mfano.
Ninawasilisha.