Mimi kudanganya kwangu mwiko kwa source zangu vijana niliowafunza kazi miaka ya nyuma karibia nane wametangulia na hao ninawafahamu kuna wengine tunajuana kwa jujuu tu nimeshaabiwa ni watano sasa nizushe ili nifaidike na nini kuwasingizia vijana wangu ambao walikuwa wakinijali hata kwa mikaa tu
Itakuwa awamu ya tano iligusa maslahi yako ukaona isiwe tabu nitafute mahali pa kujifariji.Wacheni Watanzania watiririke kama ilivyikuwa Awamu ya Nne
Mimi nilikuwa mwanaccm ngangari wakati wa Awamu ya nne na jata ukinitafuta humu utaona michango yangu dhidi ya upinzani ilivyokuwa ya moto
Ila baada ya kuona CCM inazidi kupoteza muelekeo na kutumia nguvu kubwa sana ili kutawala nikaona ile misingi imeachwa na ubabe ndio umetalamaki nikaona kuwa hawa wanaofanyiwa unyama ni watanzania wenzangu hawa
Nimeamua kukihama Chama cha mapinduzi mwaka na ushee sasa niko Chadema
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuelekeza sera zake kwenye Dialogue na Wapinzani kutumia ubabe ndio kinazidi kujichimbia kaburi
Sasa ulikuwa unashauri nini tuivamie Jamhuri ya Zambia kijeshi kwa sababu ya Madereva wanafanyiwa zengwe?!
Tafuta nyuzi yangu inayoongelea mtu kupatwa na colonaKwa ulivyo wewe, kifo cha kwanza tu ungesharipoti na mazingira yake, hapa umetuingiza chaka mzee chutama tu ni uungwana.
Ugonjwa upo ila hizo hadithi unazikuza sana na sio ajabu kwako coz zina maslahi kisiasa.
Hao watu wote hawana familia wala ndugu isipokuwa wewe mtoa taarifa wao?
Kifo hakifichiki, uwezekano wa ugonjwa kusambaa sana ni mkubwa pia japo madhara ya moja kwa moja kama vile uwepo wa wanaougua na kufa sana zikawa ni prediction's kutokana na trend
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me haijagusa maslahi yangu yoyoteItakuwa awamu ya tano iligusa maslahi yako ukaona isiwe tabu nitafute mahali pa kujifariji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja UPI?Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msituharibie nchi
Inukuu nyuzi yangu yotote niliyozushaKwa aina ya upinzani wa kipumbavu uliopo Tanzania kwanza serikali inawalea sana.
MTU mzushi na mtukani aina yako kumvumilia yataka roho wa Bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Tunduma, unaweza nilipia nauli mpaka Dsm twende?Taja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda
twende kurasini tu ka confirm
halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Imagine mnajidhalilisha kuwa mnahongwa kuhamia ccm, hivi mwenye akili timamu anaweza waamini nyie kweli? Kama ccm inawahonga je maadui wa taifa kutoka nje si mtauza nchi nyie?Ninyi wakati mnampa yule mzee sumu sisi hatukuingilia ninyi demokrasia yetu inawahusu nini acheni kutukandamiza kufunga mikutano ya siasa ni uoga wa kuiogopa Chadema
Wabunge hata mkiwanunua wahamie Nccr shauri yao Bunge lwnyewe linaenda kuvunjwa kwahiyo watakuja wabunge wapya zaodi ya hao tena vijana wa kike na kiume msije kuingiza majeshi mitaani tu
Ruhusuni mikutano ya hadhara ya siasa tunachotaka ni hicho tu.Uwanja UPI?
Maridhiano hewa?.
Kila siku mnazofanya sio siasa?
Hivi nyie si mnapost video za umati mkiwa kwenye mikutano?
Hamjawahi jielewa mnataka nini tatizo mmekamatwa akili na viongozi wenu.
Wanasiasa wapuuzi sana nyie wote ccm na chadema wapiga debe mlioko huku mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupu ingekuwa kweli ungeona hata maturubai maeneo ya misiba kwenye hizo familia.Chanzo basi kidogo ili watu tusibaki kuamini kuwa hizi ni taarifa za mitandaoni,mnapoona jambo kama hili wahabarisheni watanzania wenzunu,viko vyombo vya habari penyezeni hizi habari,wapo waandishi wa habari wapenyezeeni hizi,wataenda kuchimbua huko,siyo wote watakaa kimya,kisha baada ya kutoa hizo habari ndo mje huku.
Kama kweli mnalipenda taifa lenu hamtoficha kitu,lakini kuja na kuishia kuandika tu huku kuwa wata wanakufa bado hamtoaminika kwa sababu kuna watu hata kushuhudia hawajawahi kushuhudia hata kusikia tu watu wanakufa hawajawahi kusikia.
UOGA,HUFUTA UKWELI.
Zambia, Rwanda, Malawi ?
Mimi nimehamia Chadema kutoka ccm sasa na hii mikakati ya kuhonga halafu mnagawa vyeo huku wanaccm asilia mbawaacha solemba ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la safari ya kuzimuImagine mnajidhalilisha kuwa mnahongwa kuhamia ccm,
Acha ujinga na ukishindwa isipokuwa na mashiko,tunapuputika tutafute njia sahihi za kupambana na hili janga tukiweka siasa tutazidi kuumia
Wenyeviti wa mtaa wameambiwa maturubai yasisimameUongo mtupu ingekuwa kweli ungeona hata maturubai maeneo ya misiba kwenye hizo familia.
Wazushi hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa wameshazikwa wangapi?Mkuu Kati ya watu 100 wanaopata corona,85 wanauwezekana wa kupona wenyewe bila kwenda hospitalini Wala kulala kitandani,15 lazima walale kitandani na kupata matibabu.5 Kati ya hao 15 wana asilimia kibwa sana ya kupoteza maisha.Kwa hiyo Kama ulidhani au uliambiwa na CCM kwamba kila anayepata corona lazima alazwe hospital au afe ulidanganywa sana.Kwa hatua zinazochukuliwa na serikali yetu nakuhakishia kuwa wale watanzania wote wenye kinga dhaifu watazikwa na hata wewe kinga yako ya mwili ikiteteleka hata kidogo umezikwa.Magu kujichimbia usidhani ni mjinga bali anaijua afya yake
Tafuta nyuzi yangu inayoongelea mtu kupatwa na colona
Hali ni mbaya: Mwongozo wa nini kama hakuna wanao kufa na Corona? - JamiiForumsMpaka sasa wameshazikwa wangap
Trust me haijagusa maslahi yangu yoyote