Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.