Corona: Bila kupeana makavu hatutoboi, kwako mzee baba

Kila ugonjwa ukitaka uundiwe tume tutakuwa na matume mangapi? Jifunzeni kuishi na corona kama tunavyoishi na malaria, corona will be there forever, kumbuka hata malaria inaua kila siku
Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh?
 
Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh?
Barakoa asaiv tunavaa kidevuni na shule zitafunguliwa muda c mrefu kuhusu kunawa mikono ndo itakuwa utamaduni wetu kabisa
 
Back
Top Bottom