Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
Wana JF Poleni na majukumu mbali mbali ya kujuzana mambo muhimu. Niende moja kwa moja kwenye ombi langu, nataka ku-copy picha yoyote toka yutube kwenda katika FLASH je nifanyeje? Naomba msaada wenu. Ninatanguliza shukrani nyingi.