Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,566 11,808 Aug 13, 2018 Thread starter #5 black sniper said: Kapigwa za uso Click to expand... Hahaha
danali JF-Expert Member Jan 30, 2012 1,135 1,674 Aug 13, 2018 #6 Wanawake siku zote wao ni watu wa kuskitika
katib mkoa JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,561 2,142 Aug 13, 2018 #8 Kubeba mtoto miez tisa imekua nongwa Mbona sisi mda wote wapo kwenye pumb hatulii Mtuache ,
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Jul 26, 2012 20,897 63,784 Aug 13, 2018 #9 FAIZHAD said: Demu genious kamjibu Demu Kilaza!! Click to expand... Sipati picha hayo majibu yake, yalivyokuwa na shombo. Vita vya mwenye busara na asiye na busara, siku zote hushinda asiye na busara.
FAIZHAD said: Demu genious kamjibu Demu Kilaza!! Click to expand... Sipati picha hayo majibu yake, yalivyokuwa na shombo. Vita vya mwenye busara na asiye na busara, siku zote hushinda asiye na busara.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Feb 6, 2017 24,039 71,272 Aug 13, 2018 #10 FAIZHAD said: Demu genious kamjibu Demu Kilaza!! Click to expand... kweli aiseee.
R Mbuna JF-Expert Member Dec 30, 2015 2,278 5,319 Aug 13, 2018 #11 katib mkoa said: Kubeba mtoto miez tisa imekua nongwa Mbona sisi mda wote wapo kwenye pumb hatulii Mtuache , Click to expand... Mkuu haufai hata kidogo yaani mbavu zimebaki vipande vipande.
katib mkoa said: Kubeba mtoto miez tisa imekua nongwa Mbona sisi mda wote wapo kwenye pumb hatulii Mtuache , Click to expand... Mkuu haufai hata kidogo yaani mbavu zimebaki vipande vipande.