Mvua ya drones na makombora ya Ukraine yatikisa ndani ya Urusi

kp kipanya44

JF-Expert Member
Jun 23, 2022
10,709
13,152
Huku Mikasa ikiendelea kuiandama urusi baada ya ndege yake kubwa ya mizigo kuwaka moto wakati ikiwa angani na kuua watu wote 16 ndani yake,kwa upande wake Ukraine imeendelea kutembeza kichapo huku ikichakaza vibaya vituo vya kuchakata mafuta (oil refineries)ndani ya Urusi.., wakati hayo yakiendelea makundi ya wapiganaji wa kirusi wanaoungwa mkono na Ukraine Leo hii wametangaza kukabiliana na vikosi vya usalama ndani ya urusi huku wakipata udhibiti wa vijiji kadhaa katika Jimbo la belgrod ndani ya ardhi ya urusi.., wapiganaji hao wanadai kuwa Wana lengo Moja tu la kuundoa utawala dhalimu wa rais puttin na kuikomboa nchi Yao ya urusi

NB: sijaongeza Wala kupunguza neno lolote katika hayo niliyoandika..,pekua mwenyewe ukurasa wa aljazeela ujionee kila kitu!!

Screenshot_20240312-222523.jpg
 
Sio mda watakipasua hiki kiukraine afu marekani akiona vita imepamba moto anajitoa. Ukraine kichapo
Hayo ni mawazo yako ila jua kuwa Jazba na ubaunsa mavi hauna nafasi kwenye karne hizi.Si kila alie mtoto ukajifanya unammudu na unaweza kumuonea.
Puttin hii vita alifail kuicalculate since day one Busara ikiambatana na akili huketa ushindi mkubwa sana kwenye maisha ya mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
 
mtu ambae haezi simamia Bandari wala hifadhi ya Ngorongoro haez elewa kwasasa Ukraine ndo inajeshi bora balani Ulaya na kwa zana yingi za kisasa barani Ulaya licha ya kuwa anategemea Misaada , ndio maana Urusi haez songa mbele , HATA KAMA UKRAINE ATAPOTEZA MAJIMBO YA MPKN BAS BAADA YA VITA UKRAINE ITAKUWA TAIFA IMARA SANA KIJESHI , URUSI ALIMPIGA TEKE CHURA
 
mchambuzi uchwara jeshi bora toka 2014 hawajaikomboa crimea pamoja na kusaidiwa na the rest of europe na usa hadi kanada na bado wanapoteza maeneo most recently adveeka unadhani RUSSIa kuna mashoga kule kule wanaume wa kazi wanatembeza kichapo.
 
Hayo ni mawazo yako ila jua kuwa Jazba na ubaunsa mavi hauna nafasi kwenye karne hizi.Si kila alie mtoto ukajifanya unammudu na unaweza kumuonea.
Puttin hii vita alifail kuicalculate since day one Busara ikiambatana na akili huketa ushindi mkubwa sana kwenye maisha ya mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
kichapo kiko pale pale yani hata nato waungane na ukraine rasmi wawachukue na mashoga wote wanaopatikana afrika asia kuanzia south korea na wengine mtakula kipigo kama mnaweza msibweke rudisheni crimea yenu na muidhinishe ukraine kujiunga nato mpate kipigo kwa pamoja kuku nyie.
 
Urusi akishavamiwa basi amekwisha kwamaa linchi lenyewe ni likubwa tu. halafu saizi halina kitu. Wanajeshi wote wamekufa siraha zenyewe anashinda anaomba hadi kwakina kiduku.
Kabakiwa na Nuclear tu, na ngoja wahuni wajue namna ya kudeal na hizo nukes aone watakavyomnyoosha.
 
kichapo kiko pale pale yani hata nato waungane na ukraine rasmi wawachukue na mashoga wote wanaopatikana afrika asia kuanzia south korea na wengine mtakula kipigo kama mnaweza msibweke rudisheni crimea yenu na muidhinishe ukraine kujiunga nato mpate kipigo kwa pamoja kuku nyie.
Punguza jazba mzee,ikiwezekana pata hata glass Moja ya maji Ili kupunguza maumivu., urusi mliyemwona super power anaaibishwa na kanchi kadogo kama Ukraine,huo ndio ukweli mchungu🥱🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Punguza jazba mzee,ikiwezekana pata hata glass Moja ya maji Ili kupunguza maumivu., urusi mliyemwona super power anaaibishwa na kanchi kadogo kama Ukraine,huo ndio ukweli mchungu🥱🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums
hata mimi naona yaani nchi ambayo haiwezi zalisha hata kifaru kimoja ishindane na nchi ilozalisha vifaru 2100 kwa mwaka mmoja daah! mnashinda mnatembeza bakuli ulaya yote mnapewa vifaru 80 baada ya maombi ya miezi sita, na bado vyote vimepotea sawa sawa tufanye kazi kwanza
 
mchambuzi uchwara jeshi bora toka 2014 hawajaikomboa crimea pamoja na kusaidiwa na the rest of europe na usa hadi kanada na bado wanapoteza maeneo most recently adveeka unadhani RUSSIa kuna mashoga kule kule wanaume wa kazi wanatembeza kichapo.
hiyo Ukraine ina ukubwa gan kutomegwa ikaisha tangu mwaka 2014 wanapoteza maeneo tu ? UGUMU WA MAISHA UMEZALISHA WEHU WENGI SANA.BARAN AFRIKA
 
kichapo kiko pale pale yani hata nato waungane na ukraine rasmi wawachukue na mashoga wote wanaopatikana afrika asia kuanzia south korea na wengine mtakula kipigo kama mnaweza msibweke rudisheni crimea yenu na muidhinishe ukraine kujiunga nato mpate kipigo kwa pamoja kuku nyie.
wanaume wanapigania majimbo yao , mashoga mnagawa bandari
 
hata mimi naona yaani nchi ambayo haiwezi zalisha hata kifaru kimoja ishindane na nchi ilozalisha vifaru 2100 kwa mwaka mmoja daah! mnashinda mnatembeza bakuli ulaya yote mnapewa vifaru 80 baada ya maombi ya miezi sita, na bado vyote vimepotea sawa sawa tufanye kazi kwanza
Ulaya wanajielewa sio kama nyie WEHU mnashindwa simamia maliasili zenu muda si mrefu mtauza hadi nchi zenu kwa malipo ya Quran na Biblia
 
Command ya NATO imevunjwa na majeshi ya Russia na sasa Ukraine na NATO hawawezi kulinda au kuzuia mashambulizi ya Russia dhidi ya miji kama Kharkov na Kiev.

Marekani amebadili strategy na sasa ataka kuvunja uwezo wa jeshi la Anga la Russia kwa kushambulia meli za kivita zibebazo ndege za kivita kwenye bahari nyeusi na miundombinu ingine.

Ukraine kushambulia Belgorod ni kupoteza malengo nahabari zilizopo sasa hivi ni kwamba FSB wamechukua nafasi na kuna shughuli yaendelea huko.

Isitoshe mashambulizi haya yanofanywa sasa hivi na Ukraine ni kama alivyosema raisi Putin kwamba ni kujaribu kuingilia shughuli ya uchaguzi unotarajiwa kufanyika jumapili ijayo.

Pia hao wanofanya mashambulizi hayowote wajulikanakwamba ni warusi wanoiunga mkono Ukraine na wameungana na kikundi cha kujitolea waitwao LSR na RDK na hawa ni wote wanapinga uatawala wa raisi Putin.

Kwa kuwa wote wanatambuliwa na FSB ndio maana kuna shughuli huko Belgorod na nadhani baada ya siku chache tutasikia zogo limeisha.

Tukumbuke uchaguzi ni kuanzia March 15 hadi 17.
 
Ulaya wanajielewa sio kama nyie WEHU mnashindwa simamia maliasili zenu muda si mrefu mtauza hadi nchi zenu kwa malipo ya Quran na Biblia
sisi wehu kweli ndio maana bosi wetu putin amesaini sheria ukifanya propaganda na ushoga jela endeleeni na tabia zenu za kishoga shoga huko huko si mnataka dunia tuwaanchie wanyama pori nyie mkiwa bize na ushoga.
 
sio lazima kuchangia kila kitu huu uzi umekaa kishabiki kwa asilimia 99% hapa ni mashabiki tu wanapaweza watoa elimu kuna nyuzi zinawafaa wewe uliona wapi MVUA YA DRONES NA MAKOMBORA, huu ni uchokozi wa kishabiki kabisa kutoka kyiv.
 
Back
Top Bottom