Copy and Paste ya Mlima KILIMANJARO.

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.
 
Sasa kwani tatizo liko wapi? ni kitu ambacho kila mtu anakijua na sio cha kufikirika kiivyo.. angecopy slogan sawa ka CUF wanavyo copy na kupest
 
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.

Hakuna sehemu inajina hilo huko Arusha.

Kwa hiyo unamaana kuwa neno hilo yeye ndo wakwanza kusema tangu mlima huo kugunduliwa?
 
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.
Wanaokiharibu CUF ni watu wenye mawazo ya jinsi hii. hamtaki kutafuta jambo jema la kujenga chama bali mnafikiri kitajengwa kwa kujaribu kuwabomoa wanaojijenga vizuri. Mtaishia kuwaona wakipanda juu na kuzidi kupendwa.
CHADEMA itaendelea kuimarika na kuppata umaarufu hata kama wengine hili linawauma, POLENI MNAOUMIA.
 
Nenda kwenye hansard za bunge mbowe alisema mlima kilimanjaro haupakwi hata rangi ila unaingiza mapato mengi kwa serekali na wanaozunguka mlima huo mlima hawanufaiki na mapato hayo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kutuletea hicho kipande hapa tumridhishe huyu mwali wa ccm
 
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.

HEE, kumbe hairuhusiwi kuunga mkono hoja...ndio maana tanzania haiendelei..kjwa sababu ya watu kama ninyi!
halafu kuna kosa gani, as long as "alinukuu"
 
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.

Zero Rated Brains (ZRB)
 
Kwa hiyo ulitaka aseme, hilo pato lipelekwe moja kwa moja kwa MAFISADI?
 
Narrow mind bado tatizo kwa watu kama nyie,mbona hicho kitu cha kawaida saana? Kwamba kwenye natural resources yeyote adjacent community must receive certain percent because they are the one's who suffer directly,bongolala kilaza wewe.
 
kumbe bongo sasa hivi kuna hati milik ya matamshi?
m,senge wewe.
na mtu akiniiga kukuita hivyo nitamfungulia kesi.
 
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno yaliyotolewa siku chache na mwenyekiti wa CUF katika kiwanja cha Revolosi mjini Arusha.

mbona hili Mbowe aliliongelea kwenye kampeni zake 2005 alivyokuja Rombo. Siyo jambo geni sana kwetu mkuu.
 
hahahaha................CHAMA CHA KAVU.
:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Back
Top Bottom