Graph hapo chini inaonyesha copper smelters mbali mbali katika nchi tofauti duniani zenye uwezo wa kuchenjua kuanzia 2,000 tons kwa mwaka mpaka zenye uwezo wa 100,000 tons kwa mwaka ambazo zinaoperate mpaka sasa.
Kwahiyo hizi data zinapingana kabisa na conclusion waliyotoa TMAA kuwa smelter lazima iwe na capacity ya 150,000 tons per year to be economically viable. Hii inaonyesha hawakuresearch vya kutosha kuona kama kuna smelters zenye capacity ndogo huenda ilikuwa influenced na migodi yenyewe pamoja na smelters walizotembelea kule japani ( Toyo smelter yenye uwezo wa 300,000 tons per year pamoja na Saganoseki yenye uwezo wa 470,000 tons per year).
Nashauri team ya watalaam wa uchakataji na uchenjuaji makinikia iundwe kuangalia uwezekano wa ku install smelter yenye uwezo kati ya 40, 000 na 60,000 tons per year. Hii ni kutokana na kuwa migodi yetu inazalisha kati ya 50,000 na 60,000 tons per year na huenda production ikashuka zaidi.