Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Mtu ka stake 700m kwa ajili ya kupata 7b, huyu sasa ndio mkamalia sio sisi tunaobeti na madau ya buku tano tano, halafu tunavimbaaa...!!
kipato chake vipi mkuu sjaona ukikizungumzia
 
Drake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kashaliwa
Argentina anacheza na vibonde tu tangu mwanzo.
 
Drake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kubeti ni haram

Labda Argentina ya Manzese
 
Kuna waliokurupuka kumgeza
 
Attachments

  • IMG_4469.jpeg
    IMG_4469.jpeg
    593.7 KB · Views: 9
Lile goli la kijana Pessi aibu nimeona mimi, lakni bado vijana wake wanamwaga radhi mitandaoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom