Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Nigeria has succeeded to boost tourism through the name of Jesus, as you'll soon realise. God bless us all.
 
Watumishi wa Mungu ni wanyenyekevu. Yesu alinyenyekea hata mauti. Kwa kifupi Tabby nikifanya summary ya maneno yako unasema...
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala...au
Usipokuja wewe watakuja wengine...

Yani kwa heshima aliyokuwa nayo TB you dont deserve to be even the last person on the line serving on his behalf. Hapi ndiyo utaona tofauti ya kufanya huduma kama huduma au kazi kama kazi.
Pole sana.
 
Dini za siku hizi balaaa, huwa nacheka sana matangazo ya dini siku hizi, utasikia Je umezidiwa na madeni? Njoo mlima wa moto/baraka ili ufunguliwe, anayekudai ikikuona tu hakudai tena, sasa hii ni dini au wizi? dawa ya deni ni kulipa tu sio kukwepa

Moja ya watu ambao ni wagumu kuamini uwezo wa Mungu na kazi zake ni mafarisayo, japokuwa walikuwa na elimu za juu za sheria ya torati ya Musa na pamoja na kuwa na shuhuda zilizotikisa dunia mfano ushuhuda wa bahari ya shamu Mungu alipowavusha lakin bado waliendelea kuwa na mioyo migumu na ndio hao walipelekea Mungu akawazungusha jangwani wana wa Israel pia ni hao hao waliokuwa kkwazo na wapinzani kwa Bwana Yesu.

So hata ww mfarisayo siwezi kukushangaa lakini Biblia inasema ktk kitabu cha 2nyakati.." Mwaminini Mungu ndivyo mtakavyothibitika, Waaminin Manabii zake na ndivyo mtakavyofanikiwa"
 
Last edited by a moderator:
Njia nyingine ya kwenda SCOAN ni kufuata maelekezo yaliyoko kwenye website yao wala huhitaji kupitia kwa mtu. Nimeshafanya hivyo mara tatu na kufanikiwa. Ubarikiwe sana.
 
Wewe Tabby haya maneno yanakuuma. una kiburi na umefilisika km unadhani unatoa huduma bora. na question kiwango chako cha kiroho. umeomba leo asubuhi?
Mimi pia sikupenda huduma zenu na aliyenituma nikamwambia aende mwenyewe ofisini kwenu. shame on you maana mnamuaibisha TB Joshua. badilikeni.

Mkuu Chupaku nimeanza kuamini haya madai ni ya kweli maana wanaJF wengi wanalalamika so ni vyema akajirekebisha kwani hapo wanamuharibia mtumishi wa Mungu Tb Joshua.
 
Last edited by a moderator:
Moja ya watu ambao ni wagumu kuamini uwezo wa Mungu na kazi zake ni mafarisayo, japokuwa walikuwa na elimu za juu za sheria ya torati ya Musa na pamoja na kuwa na shuhuda zilizotikisa dunia mfano ushuhuda wa bahari ya shamu Mungu alipowavusha lakin bado waliendelea kuwa na mioyo migumu na ndio hao walipelekea Mungu akawazungusha jangwani wana wa Israel pia ni hao hao waliokuwa kkwazo na wapinzani kwa Bwana Yesu.

So hata ww mfarisayo siwezi kukushangaa lakini Biblia inasema ktk kitabu cha 2nyakati.." Mwaminini Mungu ndivyo mtakavyothibitika, Waaminin Manabii zake na ndivyo mtakavyofanikiwa"

Naamini sana Neno la Mungu ila siwaamini makanjanja wa kufanya ishara, tatizo kizazi cha sasa kinahangaika kutafuta Ishara badala ya kuamini neno.

Hivi ni Mungu gani huyo anayetenda Miujiza Nigeria tu? Mbona Nigeria yenyewe haipo Shwari?
 
päiva;6435571 said:
Njia nyingine ya kwenda SCOAN ni kufuata maelekezo yaliyoko kwenye website yao wala huhitaji kupitia kwa mtu. Nimeshafanya hivyo mara tatu na kufanikiwa. Ubarikiwe sana.

Mkuu thanks 4 more clarification.
 
Hivi mkuu zile anointing water and stickers zinapatikana wapi kwa hapa Tz and kama hazipatikani ni jinsi gan ya kuzipata.

Zinapatikana ofisi za scoan,posta mpya,jengo la benjamin william mkapa...na hyo coordinator anaelalamikiwa hapa ndo unamuona hapo
 
Watumishi wa Mungu ni wanyenyekevu. Yesu alinyenyekea hata mauti. Kwa kifupi Tabby nikifanya summary ya maneno yako unasema...
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala...au
Usipokuja wewe watakuja wengine...

Yani kwa heshima aliyokuwa nayo TB you dont deserve to be even the last person on the line serving on his behalf. Hapi ndiyo utaona tofauti ya kufanya huduma kama huduma au kazi kama kazi.
Pole sana.

u a ryt mkuu!kwanza wa2 wanaofanya kazi na tb joshua hawapo hivyo,...
Nilikuwa scon frm xmass up 2 new yr! Yaani TB Joshua yupo tofauti na hao wanaojifanya wanamjua sn,mnyenyekevu,hana majivuno, tofauti na huyu coordinator
 
Naamini sana Neno la Mungu ila siwaamini makanjanja wa kufanya ishara, tatizo kizazi cha sasa kinahangaika kutafuta Ishara badala ya kuamini neno.

Hivi ni Mungu gani huyo anayetenda Miujiza Nigeria tu? Mbona Nigeria yenyewe haipo Shwari?

Mkuu huenda unaamini sana Neno la Mungu lakin somehow hulisomi thus why inakuwa vigumu kufumbua hata mafumbo mbalimbali ambayo majibu yake yanapatikana ktk neno, Ukisoma kitabu cha 2wafalme utaona ni jinsi gani nabii Elisha alivyokuwa akitenda miujiza kwa nguvu za Mungu hadi kupelekea mataifa mbalimbali kwenda samaria kumfuata, Pia hata mataifa yalitoka sehemu za mbali kufuata hekima ya Mfalme suleiman.

So sio ajabu watu kwenda Nigeria kwa Tb Joshua kwani ndio karama aliyopewa na Mungu na ujue kuwa karama kama hizi ni za wachache na huwa hazigawiwi na Mungu kama njugu bali ni kwa wateule wake wachache aliyowachagua yeye.
 
ww unaebisha vitu usivyovijua bora ukae kimya! Na prophet ashapewa hizi taarifa!
....mleta mada upo sahihi, nilikuwa huko,na nilipitia hyo njia ya coordinator,bt nikienda tena i wont use that way!
...acheni 2 martha ni tatizo hasa kwawale wasioelewa ki2,wanapata shida,im telling u coz huwa na volunteer aisee km huna moyo huwezi vumilia
 
Mkuu huenda unaamini sana Neno la Mungu lakin somehow hulisomi thus why inakuwa vigumu kufumbua hata mafumbo mbalimbali ambayo majibu yake yanapatikana ktk neno, Ukisoma kitabu cha 2wafalme utaona ni jinsi gani nabii Elisha alivyokuwa akitenda miujiza kwa nguvu za Mungu hadi kupelekea mataifa mbalimbali kwenda samaria kumfuata, Pia hata mataifa yalitoka sehemu za mbali kufuata hekima ya Mfalme suleiman.

So sio ajabu watu kwenda Nigeria kwa Tb Joshua kwani ndio karama aliyopewa na Mungu na ujue kuwa karama kama hizi ni za wachache na huwa hazigawiwi na Mungu kama njugu bali ni kwa wateule wake wachache aliyowachagua yeye.

Yana mwisho haya, Kakobe alivuma weeee sasa kimya
 
Big up. Endelea kuwapa shule watanzania kama hawa tupo wengi sana.
umeongea ukweli wako na ndio mwisho wa akili zako kufikiria (etc).
No wonder you are a great thinker!
This explains why tourist hotels in tanzania are employing managers from kenya, while we have thousand of the so called "managers".
Wanaepuka kuchujua watu wenye mentality kama yako.
Shame on us tanzanians
 
Anointing water na sticker vinapayikana pale Benjamini Mkapa. Ila unahitaji kuwa na moyo waziada ili kuvipata. Huyu mtu anaye itwa Martha kweli anachokifanya pale sio kizuri kabisa. Anataka kuwa Mungu mtu hapa duniani, anataka kufanya iwe bila yeye huwezi fika SCOAN. Ana manyanyaso sana. Nilikwenda pale na hela mkononi akanizunguusha siku mbili na hakuniuzia maji. Kwanza anajibu mabaya sana na hata heshima hana. Mimi nadhani anahitaji kuombewa ili aweze kufanya hiyo kazi.
 
.....huyo ndo aliyetayari kutumika...maana biblia yasema atanyanyua mawe kumuimbia.....nyie mnaojiona wasafi mko wapi kutumika??sioni sababu ya kupiga saana kelele..martha,martha.....kama vp tumika wewe!Mungu humwita mtu kwenye madhaifu yake na kisha humbadilisha hatua kwa hatua
........TUKISEMA HATUNA DHAMBI TUNAJIDANGANYA WALA KWELI HAIMO NDANI MWETU
 
Anointing water na sticker vinapayikana pale Benjamini Mkapa. Ila unahitaji kuwa na moyo waziada ili kuvipata. Huyu mtu anaye itwa Martha kweli anachokifanya pale sio kizuri kabisa. Anataka kuwa Mungu mtu hapa duniani, anataka kufanya iwe bila yeye huwezi fika SCOAN. Ana manyanyaso sana. Nilikwenda pale na hela mkononi akanizunguusha siku mbili na hakuniuzia maji. Kwanza anajibu mabaya sana na hata heshima hana. Mimi nadhani anahitaji kuombewa ili aweze kufanya hiyo kazi.

Huyu anajua wazi kuwa hafanyi kazi Mungu ila Nyini mnaeenda hapo ndo hamjui mnaenda kwa nani?
 
Back
Top Bottom