Coordinator wa SCOAN Tanzania

Unaangaika sana kwani wewe huna mchungaji wako wa kukuombea uponyaji hadi huyu TB, kumbuka kuna manabii wengi hapa tanzania sema tu umewadharau. Mungu sio uganga wa jadi anatumia yeyote hata mtoto. mbona hao wanageria hawaji bongo kuombewa. funguka

Siku za mwisho watu watajitenga na Imani. Amelaaniwa mtu amtumainiaye mwa
 


Mkuu, hamia jukwaa la DINI na Imani
 


Mkuu tumekusikia, Ila hamimshia mada hii jukwaa la Dini na Imani
 
Mkuu,kumbe hii thread bado ipo?
Achana na hao wasioamini,kwanza waamini wasiamini hakuna wanachotusaidia wala kupunguza imani yetu!

..kwanza nisaidie jins ya kupata access jukwaa la dini

Yesu hakuja kwa waliohaki bali kwa waliopotea na pia alikuja kutafuta kile kilichopotea na pia tambua ata wewe hapo mwanzo ulikuwa mdhambi so acha kuwashutumu bali warekebishe kwa lile sahihi unalolijua!!
 
siku ukifika SCOAN mwambie wise man CHRISTOPHER au TB JOSHUA akuombee maana una pepo wa ulalamishi ndio linalokutesa mpaka unalalamika hapa mtandaoni,si kanuni ya mkristo mtu akikukwazwa mtafute myamalize kabla ya jua alijazama sasa wewe ndugu umekosewa na huyo martha unakuja lalamika hapa jf!
by the way mimi siamini kama nilazima uende uko kwa tb joshua ninacho kuponya ni imani yako si binadamu mwenzako!kitukingine kinacho nishangaza hivi yesu wakati yupo hapa duniani alikuwa akiwaombea watu wanaanguka ana kugakagala kama ninivyoonaga SCOAN
SHTUKAAA NDUGU!
 
Je wewe umeona video ya jinsi watu walivyokuwa wakionekana wakati wakiombewa na Yesu???
 

Tutajie na Mtumishi. mmoja tu hapa tz anayetoa msaada. kwa wahitaji japo. kwa kutaja jina.
 

hiki ulichoandika hapa kinaakisi kilichomo ndani yako nacho ni "kiburi cha uzima" ni ombi langu kuwa hekima ya mungu itusaidie katika kujibu kila hoja au jambo lolote kuliko kuandika bila kujali hicho ulichoandika kinasomwa na watu wangapi. Maana yake nn kumwabia mtu nanukuu ''afadhali ufe na shida zako" nn mantiki ya ndani ya sentensi hii, jamani mungu atusaidie ni hayo wakuu wangu mi nlikuwa napita tu.
 
Alikataa kuuza maji gani hayo? Kwani anafanya biashara gani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 


Maskini pole sana na Mungu akusaidie akuzidishie ufahamu. Ninajua hata kiburi cha uzima hukijui ila umekariri. Ombi langu unatakiwa usome kwanza kwa kina na ufuatilie mjadala mzima badala ua kukurupuka kujibu bila kuelewa halafu unaonekana mropokaji mdandiaji asiye na ufahamu wakutosha.

Chukua muda usome na uelewe na ikiwezekana ufuatilie mazungumzo tangu mwanzo ndipo utanielewa. Kwa heri hakimu.
 
Unaheri wenye mwenye ufaham wa juu.
Asante kwa elimu uliyonipatia
 


Tabby and Sumba-Wanga, Peace be upon you! I would like to advice you to kiss and make up your differences for the Bible tells us Christians to love our neighbours and enemies as we love ourselves! And why the said annointing water has become a business nowdays rather than being provided freely?

Money oriented Pastors say Jesus was annointed and so Christians also have to be annointed by buying annointing waters or oils! But Jesus compensated nothing to be annointed and why should we pay for the annointing waters or oils? There are annoiting stickers also launched sometimes ago by TB Joshua! My neighbours,from what you squabble,others are benefiting!
 

We unadhani hayo mafuta mpaka yanakufikia wewe yamesafirishwa na upepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…