Coordinator wa SCOAN Tanzania

Ajabu ya babu loliondo, naijeria na hatukomi.
As long as we get peace from the guy over there.
TV promotions works!!
 
Hivi kuna mtu yoyote amepiga simu SCOAN kueleza matatizo haya ya Martha au tunaobgelea hapa JF tu?
 

Watumishi wengi wa Tanzania ni wabinafsi,sijui kama watakubaliana na kuchukua Anointing water toka SCOAN'
 
dada ni martha nkya
amekuwa mjasiriamali siyo mtumishi wa Emmanuel tv tena
kwa habari za hivi karibuni sana hayo maji anauza kichupa kimoja shs.85,000/= na kwa tamaa yake ya pesa ni lazima ameshayachakachua.

kweli tutaangamia kwa kukosa maarifa
ni vema mtu ukajiombea tu mwenyewe kwani Mungu wetu ni mwaminifu na atasikia na kuyajibu maombi.
 
Hivi kuna mtu yoyote amepiga simu SCOAN kueleza matatizo haya ya Martha au tunaobgelea hapa JF tu?

Kuna ambao wameandika kwenye wedsite ya SCOAN.
But still, you can be the first one to call
 
Watumishi wengi wa Tanzania ni wabinafsi,sijui kama watakubaliana na kuchukua Anointing water toka SCOAN'

Hilo nao jambo!
Ninawafikiria kama Kakobe, Mzee wa Upako.
Ila mama Rwakatare is an opportunist, anaweza kuchangamkia kama anahakika anatengeneza pesa
 

Martha ni janga la UKRISTO kwa kweli
 
jamani tumeulizwa humu ndani kama tumechukua hatua au ndio kama kawaida yetu ya kupiga vuvuzele tu, Mimi binafsi nimepiga simu leo kwa kupitia namba zifuatazo +234 708 222 8338, +234 705 853 6984, +234 706 371 7108 na kutuma email tatu on info@scoan. org nyinyi je
 

nndondo usiwe na shaka mie nikikaa vizuri tu natuma
 
Last edited by a moderator:

.
Agano la mkristo na Mungu kwa damu ya Mwana wake limepitwa na wakati? Na sasa ni agano la maji ya upako? Hebu tupeni andiko linalounga mkono maji ya upako isije ikawa kwetu kama kwa nabii Balaamu.
.
 
nndondo mimi nimeshatuma email.
Ninapiga simu sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Ozzie mweleze kwanza tofauti ya maji ya T.B. Joshua na yale ya DAWASCO

Hata mkinielezea kamwe hamtanipata. Huyo Mungu ambae ukimwomba wewe hakusikii mpaka utumie maji kutoka Nigeria ni wa wapi? Kwa taarifa yako huu utapeli haujaanza leo. Umekuwepo tangu zamani sana. Wakristu wa zamani sehemu kama Italia walikuwa wananunua ''baraka za Mungu'' au ''kuponi za kuondolea dhambi''. Huu ni upotoshaji tu. Kama una shida na Mungu piga magoti omba kwa imani na utapata. Kumbe babu wa Loliondo wapo kila mahali.
 

Praise the Lord!
 
Martha mnaemsema ni mtu ana maisha yake ,kazi anayoifanya halipwi hata senti moja na hata ile ofisi unayoiona analipa mwenyewe hakuna hata mtu mmoja anaemsaidia kulipa pale wala sio kuwa inalipiwa na scoan FYI, kumbuka kuwa nae ni binadamu na yuko yeye kama yeye, zaidi ya watu elfu moja kwa siku wanampigia simu na kumuuliza maswali na kumweleza shida zao wakitarajia good service ..... She is human with her own stress za kimaisha na kifamilia kama wewe and she has her own problems and issue kwahiyo usiende kwake ukazani unaenda kwa sub prophet ,her job is to coordinate you to go to scoan as directed by prophet and not to console and make you feel better...
Bado akusikilize wewe na watu wengine kama wewe elfu ,akuandikisheni apige simu kwa pesa yake kwa shida yako aende embassy akuletee visa , akukatie tiketi huyo huyo martha na bado awe in good spirit kufanya unavyotarajia wewe.
Think ! Je wewe ungekuwa martha ungeweza hayo yote bado utafutie wanao chakula na ada ya shule ?????? Tusiwe selfish na wepesi kulaumu.
Kama unaamini kuwa TB Joshua is a man of God and he can help you with whatever you need then basi hakufanya makosa kumchagua Martha kuwa coordinator ...... Na kama Martha ana matatizo basi yule aliyemuona anafaa ndie atakaemuona hafai.
Tb Joshua did not seek advice from man to choose coordinators. If you respect and accept what he does the you will know that even Martha is chosen by the prophet and you have no choice than to respect and accept her as she is , usiexpect zaidi.
And if you think hafanyi unachokitarajia then nenda SCOAN - The Synagogue, Church Of All Nations ukajiandikishe online bila shida ya kuambiwa njoo leo njoo kesho .... Wengi wameenda kupitia hapo. Angalia usijeukakosa uponyaji wako kwa kumshikilia mtu ambaye she is who she is by the grace of GOD
 
i am just trying to make people understand a number of misconceptions here, i know kuna watu watabarikiwa na kunawengine wataona kama namtetea mtu , but the truth stands ! Kama kweli tumeokoka na tunatambua umuhimu wa huduma hii ya scoan tujitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kuassume and make up things. Kinachouzwa ni dvd ya mahubiri ya Prophet TB joshua even in nigeri you will have to buy the dvd moja ni naira 50 kama huna utainunua kwa 50 dollar na hulazimishwi kununua hiyo cd bali kama unataka anointing water the easier way to get is to buy a cd au lah usubiri neema ya Mungu ishuke prophet akugawie in person. Kwahiyo basi hata hayo maji amabyo martha anakuwa nayo anakuwa amenunua cds kwa PESA YAKE uwiii yake mwenyewe ili watu amabo hawajapata uwezo wa kufika pale kununua cd wenyewe wapate maana kuna wengine wanaamini wakiyapata tu watapata deliverance yao.
So guys lets seek GOD in knowing the truth than saying kachakachua etc and the water is always sealed ..... Na hata ikichakachuliwa if you are meant to be delivered and healed through that water you will.......have faith !! Seek the truth !!! Mbarikiwe katika kutumia hekima ya Mungu zaidi ya haya tunayoyaona ni UBATILI
 
XXLIZ Umejitahidi sana kumtetea Martha (kama sio wewe ndio Martha. Naomba kukuliza mawsali yafuatayo:

1) Ni Watanzania wangapin wanatoa huduma mbali mbali kama Martha ambao wanafamilia zao, wanamaisha yao na stress zao? Cha ajabu anachofanya Martha ni kipi?

2) Ni watanzania wangapi wenye acess na internet ambao wanaweza kufanya on line appointments?

3) Ni kweli kwamba Martha ni mwema kiasi cha kulipia ofisini Benjamini Mkapa na kupiga pesa kwa hela yake? Free of charge?

4) Kama Martha anaona kwamba hiyo kazi ni burden kwake, kwa nini asimwambie T.B. Joshus kwamba it is too much for her?

5) Hivi ni lazima Martha akakatie watu ticket? Si. anaweza kufanya booking na kumpa kila mtu reserveation number, then watu wakakata ticket wenyewe. Hata la Visa inawezekana. Kama anaona ni ngumu sana, basi let her facilitate through dates na sio lazima afanye kila kitu

6) T.B Joshua na wahudumu wenzake wanapokea simu na kuhuudumia watu mara 1,000 ya Martha, how come hawajalalamikiwa? Watu wa kutoka dunia nzima? Martha is the only SCOAN coordinator? What about SA, Kenya and others?


Why Martha??????????????????????????????????????????????


However,
Praise the Lord!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…