Contraversial decisions by FA.

Contraversial decisions by FA.

Usijifanye mjinga kama utaka kufanywa sema, kafanya ujinga kaadhibiwa na adhabu ni stahiki, kama unawahukumu FA wahukumu bila kuutetea ujinga wa Suarez.
Mkuu matusi hayafai hapa na nilishadokeza tangu kule juu. Mimi ninachozungumzia hapo ni fairness katika maamuzi. Historia inaonesha si mara ya kwanza kwa FA "kumkomoa" Suarez na kuwacha wengine kwa kosa la aina hiyo hiyo. Refer ishu ya Suarez/Evra na ile ya Terry/Tony Ferdinand.

Ukiacha jazba, utakielewa ninachomaanisha.
 
Usijifanye mjinga kama unataka kufanywa sema, kafanya ujinga kaadhibiwa na adhabu ni stahiki, kama unawahukumu FA wahukumu bila kuutetea ujinga wa Suarez.

FA hawawezi kukwepa tuhuma za 'kumbeba' terry tho on this issue lazima wapongezwe kwa kutoa adhabu stahiki..
 
Mkuu matusi hayafai hapa na nilishadokeza tangu kule juu. Mimi ninachozungumzia hapo ni fairness katika maamuzi. Historia inaonesha si mara ya kwanza kwa FA "kumkomoa" Suarez na kuwacha wengine kwa kosa la aina hiyo hiyo. Refer ishu ya Suarez/Evra na ile ya Terry/Tony Ferdinand.

Ukiacha jazba, utakielewa ninachomaanisha.

Siwatetei FA wala sina kitu personal na Suarez, namkubali as a talented and skillful player hata kwenye uzi wa nani anastahili kuwa EPL player of the season, nilisema Suarez.

Lakini tusitake kujustify upuuzi wa Suarez kwa kutumia makosa ya FA, Suarez alimbwela na kaadhibiwa hilo halina mjadala. FA ni wabaguzi na wapuuzi hilo jingine. ila huyu Suarez ajifunze adabu.
 
"Mkuu matusi hayafai hapa na nilishadokeza tangu kule juu"

They say "right answers depend upon right questions"
 
tatizo wabongo ushabiki umetujaa....jamaa anastahili adhabu kali....mpirz na meno wapi. na wapi nyie....acheni ushabiki wa kijinga..
 
Nampenda Suarez kwa uwezo wake uwanjani lakini ananikera sana kwa mambo yake ya kitoto, hata lile tukio la kumpiga mwenzie ngumi kwenye timu ya taifa alistahili adhabu kali sana, inawezekana adhabu imekuwa kubwa sababu ya rekodi yake kuwa si ya kimichezo.
 
Dah,kweli kupenda kubaya kitendo alichofanya ata ingekuwa michezo ya kushikana mwili kama sumo,mieleka,au ngumi,bado akikubaliki,ndio itakuwa mpira wa miguu.
 
Naomba nieleweke. Siungi mkono kitendo alichokifanya Suarez wala sipingi adhabu aliyopewa. Suala hapa ni kuwa mbona adhabu zinakuwa tofauti kwa makosa ya aina ile ile kati ya Mwingereza na mtu asiye Mwingereza? Tujadili hilo.
 
the first one was seen by the referee and he was given a red card...the second one was not seen by the referee, if the referee had seen the suarez offense and sent him off he would have been suspended for max 4 matches...
 
Huyo ni mruguay,angekuwa rooney angefungiwa mechi 10??
 
Huyo ni mruguay,angekuwa rooney angefungiwa mechi 10??

http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/4901426/Top-10-longest-Premier-League-bans-after-Luis-Suarez-10-game-suspension.html
 
Mkuu matusi hayafai hapa na nilishadokeza tangu kule juu. Mimi ninachozungumzia hapo ni fairness katika maamuzi. Historia inaonesha si mara ya kwanza kwa FA "kumkomoa" Suarez na kuwacha wengine kwa kosa la aina hiyo hiyo. Refer ishu ya Suarez/Evra na ile ya Terry/Tony Ferdinand.

Ukiacha jazba, utakielewa ninachomaanisha.

Hivi nani mwingine aliwahi kula nyama ya mtu?
 
Back
Top Bottom