Huyu alikuwa anapigania mpira, mguu unahusiana na mpira
Huyu mpira haupo, wala hauhusiani na mkono na meno![]()
You have said broda.mti wenye matunda hurushiwa mawe mengi..
You have said broda.
Nikikumbuka pia ishu ya huyu jamaa dhidi ya Evra na ile ya Terry dhidi ya Tony Ferdinand ambazo zote zilitokea katika kipindi kinachokaribiana. Halafu nikilinganisha na adhabu zilizotolewa na utofauti wake, napata mashaka makubwa sana na maamuzi ya FA.
Mourinho, unamaanisha nini kusema kuwa mara ya pili anafanya hivyo?
aliwahi fanya jaribio la kula nyama ya mtu uwanjani kabla ya kutua anfield na kulimwa ban ya game 7 kama sikosei
Sawa ndetichia. Hiyo ya pili wala haikuwa na madhara kwani jamaa aliendelea na gemu hata baada ya tukio. Hawa jamaa wa FA ndio wanaongoza kwa maamuzi ya kibaguzi...wanachochea ubaguzi katika EPL. Kama hawataki wageni ambao wamewazidi kiwango ni bora waseme tu.ya kwanza kwani hata cheza mpira kipindi kirefu..
Ilikuwa ni UK?aliwahi fanya jaribio la kula nyama ya mtu uwanjani kabla ya kutua anfield na kulimwa ban ya game 7 kama sikosei
Unamaanisha Ajax ya Uingereza!?Alishamtia mtu meno akiwa Ajax, akapewa ban ya 7 matches, juzi karudia upuuzi uleule
Ndio fairness ninayozungumzia hapa. Na maamuzi ya kibaguzi ya hilo li chama la FA.mimi sishangai adhabu ya suarez, kwanza ingeongezwa ila nashangaa kwanini terry hakupigwa ban ndefu?
Adhabu za soka haziangalii hazard tu, bali pia na dhamira pamoja na eneo lilikotendeka kosa.Jabulani,
Which one among the two is more dangerous!?
Unamaanisha Ajax ya Uingereza!?
Ndio fairness ninayozungumzia hapa. Na maamuzi ya kibaguzi ya hilo li chama la FA.