Contrasting Leardership Styles: Uhuru Kenyatta v. Raila Odinga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Contrasting Leardership Styles: Uhuru Kenyatta v. Raila Odinga...

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Rutashubanyuma, Jan 18, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  After years of studying the leading presidential candidate, Uhuru Muigai Kenyatta and his rival Raila Amollo Odinga, I have learnt a number of contrasting leadership characteristics worth further scrutiny:-

  1) Where Uhuru is a macro-manager, his nemesis is a micro-manager. If the two were contesting to be County Governor probably Raila had the preferred qualities but for Kenyan presidency Uhuru has the quality needed.

  A macro-manager is a delegator with his eyes on but his hands are off which is suitable talent to have in managing the economy of a nation. A micro-manager is the one has both his eyes on and his hands on and is a poor delegator because though he delegates responsibilities but is often notorious for intrusiveness. If the duo were running for a lesser post like senator or parliamentarian you probable will do well with a micro-manager because you are more concerned with precision than interactive participation which is key in presidential obligations.

  2) On personal level, Uhuru has proved himself to be issues leader where his opponent is personality obsessed. During the ongoing campaigns Raila has been busier mudslinging his main rival in Uhuruto and his beef is largely drawn from the ICC despite kenyan election law paving way for the duo to run for public office! In Kenyan constitution, the integrity test calls for adhering unto one is innocent until one is convicted by the court of law and all avenues of appeal have been thoroughly exhausted. Such a scenario has not been exhausted rendering all wolf cries pretty much premature and speculative.

  Uhuru campaign is shaped into delivering the dream of new Kenya where education, health and access to water will be the main themes of his administration. Such qualities are rare in Kenyan ethnic obsessed nation.

  3) Both Uhuru and Raila if lucky enough to form the government are unlikely to apportion large portions of positions to their member of tribes because of gauzy MOUs they have entered with a number of political parties. On nepotism aspect we do not expect either of them to stray too far beyond what a general public can stomach despite Raila's history to the contrary.

  Again, grudgingly, I have to give them a draw there.

  4) On freedom of expression, Raila is less tolerant than Uhuru and is likely to muzzle the press knowing his past history but Uhuru is more liberal and more likely to let the press police itself.

  5) Both Uhuru and his serious threat to the presidency; Raila, are likely to have more Mps and senators than any other political grouping. Whoever loses is expected to marshal the opposition from afar; with a seminal remote control, since he will not be part of establishment.

  Uhuru is likely to let his assistants run the show but Raila through his ODM is likely to prefer calling the shots from within. Where the presidential loser's presence in political scene may not necessarily be a bad thing but for the betterment of the nation it pays if the loser go to retirement rather than exploiting top party position
  to rock the cradle from without! Whoever loses this election is most likely to be embittered and be more confrontational which in itself a good reason to ensure he goes home quietly.

  For uhuru who said he will be happy to come to Bongoland and be an ambassador looks possible
  to gleefully come to terms with a low political profile but for raila who is on record boasting it is either this election or never.....it is difficult to know where his future lies after this election assuming the electorate dump him.

  6) Both Uhuru and Raila are likely to work hard to placate the electorate since they will both be eyeing the next election in five years for re-election. If they falter on performance it will be more likely because of unintentional blunders...........

  7) On political tolerance, Uhuru picks the highest marks because he has no grudge and that is easily gainsaid of Raila's aura of getting his way......or facing the highway!

  8) Uhuru is more likely to accept the verdict of the voters knowing he has that
  envious record from 2002 where he humbly conceded presidential race, in public, to Kibaki but Raila being a demagogue is likely to reject the outcome outright and create a political fracas with only one selfish intent to stay relevant in Kenyan political landscape.

  9) Both Uhuru and Raila are scions of powerful political dynasties in Kenya and neither should claim a genuine pro-poor earmarks despite Raila swashbuckling to the contrary particularly to the unsuspecting Kibera & Luo Nyanza hoi poloi.

  10) Raila, a darling of the Western imperial powers, is likely to forge a more "aid" enduring environment to Kenyans but Uhuru, a darling of local entrepreneur, will stifle that Uncle Sam's hypocritical altruism.

  Local Kenyan entrepreneur community; now backing fully with cash the Jubilee political onslaught, is nervous of being replaced by Euro-centric conglomerates that are quietly positioning to take over Kenyan economy under the guises of ICC! In fact, I will sternly add that ICC which some of us are lauding with standing ovation is merely a re-colonizing tool of Western imperialism and the less we Africans have anything to do with it, the better we will govern ourselves.

  Whichever Kenyans pick between the dueling presidential hopefuls there are both advantage and costs involved and there is no free lunch from either of them!
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  KWA HAYO YOOOTE... Angalia MIKONO yao NANI ana DAMU mkononi? Anayetakiwa na MAHAKAMA ya UN?

  Ningependa kiongozi asiye na DAMU za WANANCHI wake MIKONONI MWAKE....
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Dah Rutashubanyuma umezivamia hizi siasa za kenya kwa kutanguliza chuki kwa Odinga kama vile unavyomchukia Dr. Slaa huku kwetu.

  Hivi nikikuuliza unitajie kitu "tangible" ambacho Uhuru anaweza kujivunia tangu ameanza kuwa waziri katika serikali mbalimbali za Kenya utataja nini zaidi ya kuimarisha ukikuyu? Uhuru amekuwa naibu waziri mkuu kwa miaka hii mitano na pia waziri wa fedha kabla ya kuvuliwa/Kujivua kutokana na kesi ya ICC ana nini cha kujivunia alichoifanyia kenya katika nafasi hizo alizokuwa nazo ndani ya serikali ya mseto?

  Labda nikuulize kitu kingine, unadhani wakenya wanaweza kukubaliana na hii ngonjera unayoimba hapa? usinitajie rafiki yangu Kabaridi ambaye amesha declare interest yake kwa jubilee alliance!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  nngu007 sheria ya uchaguzi iiko wazi uko huria kugombea hadi pale mahakama itakapokutia hatiani..tuhuma siyo hatia.....na kwenye hili la ICC washitakiwa halali ni Kibaki na raila.....to be brutally honest.............
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  Mwita Maranya lengo la hizi makala ni kuongeza nia ya kutafakari siyo kutoa ushawishi. bajeti zote ambazo Uhuru akiwa Waziri wa fedha zimesifiwa kwa kugusa matatizo ya wa kenya...............hususani wa ngazi za chini.....
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,154
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Rutashubanyuma nafikiri kwako wewe una mapenzi na upande mmoja hapo
  Bado sijaona katika hao ni yupi ambaye ana sera za kuwaletea wakenya maendeleo maana madongo wanayopigana bado yanakuwa ya binafsi mno
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Ruta usidhani hatujui kwamba Uhuru hajawahi kuwa powerful presidential candidates katika chaguzi za 2002 na 2007! Wakati mtukutu raisi Daniel Toroitich Arap Moi anamshika mkono kuwa mgombea kwa KANU mwaka 2002 ndio ulikuwa mwanzo wa kuporomoka kwa KANU ambayo leo hii tumeshuhudia Uhuru akiikimbia na kuanzisha chama kingine cha TNA.

  Uchaguzi wa mwaka 2007 bado tunakumbuka namna uchaguzi wa kenya ulivyofanyika kwa style ya alliances kama hizi za mwaka huu na Uhuru alikuwa kwenye alliance ya Kibaki. Na inafahamika ni kwa kiasi gani Kibaki na genge lake walimpora ushindi Odinga na kusababisha nchi ya Kenya kuingia katika machafuko, na Uhuru Kenyata akishiriki moja kwa moja katika kuwaua wakenya ambao leo hii anakuja kuwaomba kura ili awaongoze. Pamoja na siasa za kenya kugubikwa na ukabila zaidi lakini sitarajii kama Uhuru anaweza kuwa raisi bora miongoni mwa wagombea wa Uraisi wa mwaka huu.

  Anachopigania Uhuru kwa sasa ni kupata uraisi ili autumie kujaribu kujinasua na makucha ya ICC kitu ambacho naamini wakenya hawatoweza kufanya makosa ya kumchagua muuaji wa raia wasio na hatia ili aweze kupata mamlaka ya kuwateketeza vizuri wabaya wake.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Unafahamu kwamba Uhuru alikuwa anazuia fedha za miradi zilizotengwa katika maeneo ya wapinzani wa Kibaki na kuzielekeza nyumbani kwao? ni kitu gani hasa ambacho unaweza kukitaja kwamba ulikuwa ni ubunifu wa Uhuru akiwa naibu waziri mkuu ama waziri wa fedha?
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  Mr Rocky ukiona wazungu wanvyompiga vita Uhuru ujue wanamja atawakwamisha kwenye malengo yao ya kutunyonya..................na ndiyo maana wamebuni ICC kuitumia kuwachagulia wakenya raisi ajaye..........
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  Mwita Maranya angalau unakiri sijatunga lolote............na kuhusu ICC na tuhuma ulizozibaini taarifa zako ni za kusikia.........ungelijua ICC wanadai na hilo ndilo dai lao kuu kuwa kulifanyika kikao cha kupanga mauaji pale state house...............lakini wanadai hata kibaki hakujua..........................do you believe this nonsense? If you do you will believe anything.

  Jingine wanasema Uhuru ni kiongozi wa Mungiki.........this is outright laughable wakati viongozi wa Mungiki wako ODM..........na wanampigia debe raila central province............
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,154
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Rutashubanyuma sikatai kuwa kuna watu wanautumia mwanya wa ICC kutotaka Uhuru agombee au awe Rais wa Kenya ila mkuu mbona Uhuru amekaa sana madarakani ni kipi alichokifanya cha maana kwa Wakenye hadi wampe huo urais
  Anaweza kuwa Rais mzuri sana wa Kenya ila angeonyesha kuwa amefanya nini kwa wakenya
  Na la zaidi naona wapo pale kimaslahi zaidi wanataka kujilimbikizia zaidi na zaidi kile ambacho wanacho na wanakimiliki kwa sasa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  Bajeti ya kenya inaongozwa na sheria na waziri wa fedha hana mamlaka ya kuhamisha votes............angelifanya hilo wangelipiga kura ya kukosa imani naye....................................kwahiyo huo ni uzushi tu wa mitaani.

  Akiwa waziri wa kenya uchumi ulikuwa kwa kasi ya ajabu ingawaje credit anapewa Kibaki........................uhru is unsung hero of this outgoing coalition government.

  pengine Mwita Maranya ungetuelezea raila miaka 5 ya u-PM plus miwili na nusu ya uwaziri wa barabara na ujenzi alifanya nini.,I have his record and it is pathetic, to put it mildly..........na ndiyo maana Ruto anamtwanga kwenye kampeni kuwa waangalie rekodi yake ni chafu hana alilolifanya hata kule Kibera kipindupindu kinaua kila siku kisa hadi leo Raila kashindwa kuchimba vyoo......kama kashindwa Kibea should he really be trusted with running a complicated nation like Kenya?
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  Mr Rocky hizo zilikuwa khoja za 2002 kuwa Uhuru ni kinda hajawahi kushika wadhifa wowote ule serikalini......it worked then but not now......

  hata raila safari haongelei rekodi ya Uhuru kwa sababu anajua it is solid.........................amebakia kusema uhuru ni mlevi wakati yeye maji anayakata pia.....................kwa hyio hapo ngpooma ni droooooooooo

  hata wabaya wa uhuru wanaompikia ICC, akina UK na Us na EU wamekiri kuwa Uhuru ni mchapakazi ingawaje wanadai huchelewa kazini kwa sababu ya kuchelewa kulala na kinywaji......................hakuna mkamilifu lakni kama kazi anazichapa si apewe tu?
   
 14. N

  NYAKIMWE Member

  #14
  Jan 18, 2013
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  RUTA Hivi huyu UK atafanya kazi na nani wakati jumuiya ya kimataifa haimkubali.?pia WR alipinga katiba mpya (2010) hivi leo unaweza kutekelza kile ulichokipinga?? Uchaguzi wa Kenya utakuwa kati ya 'THE RULE OF LAW' Vs 'IMPUNITY'.
   
 15. d

  demulikuy JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 80
  KUMBUKUMBU ZAKO SI SAHIHI nani alisema "DONT BE VAGUE LET US GO TO THE HAGUE" wakati Raila alipopendekeza mba kesi zisikilizwe locally in Kenya?
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Hii ya kusema kwamba wazungu wanampinga Uhuru kwakuwa atawakwamisha ni mbinu ya jubilee kutafuta huruma ya wakenya kumchagua Uhuru.

  Ni uhuru huyu huyu ambaye amejaza uwekezaji wake huko kwa wazungu sasa wamuogopee kitu gani? Wazungu hawataku kurisk kwa kuwekeza kwa mtuhumiwa wa ICC ambaye anaweza kuhukumiwa kifungo na hivyo wao wakashindwa kufanya biashara na uwekezaji kwa kushirikiana na serikali ya Kenya.

  Kutokana na hilo wapambe wa Uhuru na jubilee wamekuwa wakieneza propaganda hiyo kama njia ya kuwahadaa wakenya wamchague na sitarajii kama hiyo propaganda itawasaidia kiasi cha kutosha.
   
 17. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #17
  Jan 18, 2013
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 3,874
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  Duh! naomba niweke wazi kuwa Raila Odinga is my favorite candidate,
  kwa hiyo sitapenda kujiingiza kwenye mjadala huu, ila nitasoma comments
  tu kuwaelewa zaidi wagombea hawa wawili...
   
 18. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red; Nimeamini kweli huwajui Mungiki kwa taarifa tu Ruta mungiki ni Kikuyu group, hata viapo vyao vinafanyika kwa lugha hiyo na hata mila desturi za kundi hilo ni za kikikuyu, mzee angalia tunajua mengi sana kuhusu Mungiki ila hatuyaweki hapa
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  demulikuy jikuze tu lakini maswali ya muhimu bado hujayajibu...................labda kukusaidia.................The Statutes of Lome COnvention amabazo ndizo zinaipa ICC kushughulikia ghasia kama zile za Kenya walipaswa wawashitaki akina nani? Kama siyo Kibaki na Raila?

  So me too, am not vague when I say the Hague was for Raila and kibaki only...the trials of Ruto and Uhuru including others is a sham........
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 120,159
  Likes Received: 245,794
  Trophy Points: 280
  NYAKIMWE kama haya unayoyasema basi zisiwepo chaguzi ila mataifa yatuchagulie viongozi wetu.........................The rule of law according to the Kenyan election law....................one is innocent until he is convicted by the courts and all remedies of appeal have been thoroughly exhausted.

  Kwa hiyo that part of your comment is prejudicial and irrelevant to the Uhuruto rights to run and win Kenyan highest office............
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...