Continental decoder: kwa yeyote yule mwenye king'amuzu cha continental

Aaaah sijui tutakimbilia wapi. Hawa ndio wanatangazo au walikua nalo-baba akiondoka kwenda kazini ama anahamia kwa jamaa/jirani kula uhondo wa king'amuzi. Naona baada ya TCRA kufanya mambo yao itabidi nitafute jirani aliyekuwa nacho nipate local content hasa habari.
 
Lile tangazo ama nn
 
Lile tangazo ama nn

Itabidi nitafute jirani mwenye hicho "kisimbizi" nipate uhondo wa taarifa na maudhui ya kitanzania. Tangazo lao lilionyesha mama akienda kwa jirani kuangalia TV kutokana na ubora wa hicho kiona mbali.
 
Endelea kutufayia matangazo yako ya biashara naona unaleta promo za continental..... Haya endelea kuwashawishi watakuja sasa hivi kama wakina mtatiro na waitara
 
Pumbavu kweli ww hebu soma post yang vzur
 
Back
Top Bottom