Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskaz, Nov 10, 2010.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Wanajamii mnafahamu kuwa wabungwe hulipwa posho ya petrol kwa sh 2,500 per litre?
  Hebu tuone wabunge wetu wapiganaji watazipokea kimya kimya au
   
 2. senator

  senator JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mbona ni pesa halali kwao hku sie tulipo ndo bei ya mafuta kwa lita,huenda wakapandishiwa zaidi kwa jinsi shillingi ya bongo inavyozidi kudondoka kila uchaoa
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Yawezekana inajumuisha na service/ maintenance ya gari zao.
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona ndogo wewe si uliona vumbi la kugombea hapo ndo wanafidia machungu,
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Remuneration system mbovu kabisa, ndiyo inayofilisi serikali na kujaza deni la taifa tu.
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kasulu lita ya petrol ni 6,000
  na bado itapanda punde
   
 7. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu,

  Jana nikiwa nasikiliza kipindi cha Jahazi kupitia Clouds FM, nilisikia Kapteni Chiligati akihojiwa kuhusu kuunga kwake mkono swala la kuondolowa kwa sitting alowance kwa Wabunge. Katika maelezo yako, yeye alidai kuwa zinawasaidia kuchangia mambo mbali mbali kwa wapiga kura wao hivyo kuziondoa kutaathiri utendaji wao. Je hii ina ukweli kiasi gani? NAWAKILISHA
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Badala ya Wabunge kupewa ili wakawasaidie wenye shida katika majimbo yao, ziondolewa na kuongezwa kwenye bajeti zinazogusa jamii kama elimu, maji na afya. Kwa kufanya hivyo mwananchi wa kawaida atapata huduma stahili bila kujali itikadi yake ya kisiasa
   
 9. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani poleni na mihangaiko ya mchana kutwa. Leo nimejitolea siku nzima kujaribu kufuatilia kikao cha bunge kinachoendelea huko Dodoma, kwakweli leo naona kama waheshimiwa walikuwa wako holiday kama si blue monday. Shortly kilikuwa ni kikao cha mahoka tu. Hivyo naleta hoja jamani tupinge tusiwalipe posho.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wana JF naomba ufahamu zaidi

  Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa

  Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...

  NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu
   
 11. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  if i were bi. Kiroboto ningeipotezea hii ishu ya Zitto/CDM ya posho. Hii ishu tayari ishawapa political credit CDM na wale wote wanaoiunga mkono so she is on losers' side better anyamaze maana anazidi kuwapa ujiko CDM

  Peopleeeeeee Powerzzzzzzz!!!!
   
 12. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  this is serious if we mix attendance na payment advice directly... where is internal control procedure??

  Zitto ataibua makubwa kama hawatamuelewa

  and please hii sio peoplesss powerrr...this is more serious
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu, i am more inclined to compliance and accoutability than pipoz pawar aisee

  if this has been our bunge procedure, then wehere do we expect BUnge to be credible???
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Zitto amewashika pabaya wasipoangalia katika hili yataibuka makubwa am sure kuna wabunge huwa wanapokea hizo posho hata bila kusaini kwa maana kwamba mbunge akipewa ruhusa ya kutokuwepo bungeni stahili yake ni mshahara tu lakini huwa wanapewa na posho (na nani?) kwa hiyo wakijifanya kuendelea kuchokonoa wataibuka na uchafu zaidi.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ... and then we expect hawa wabunge kuwabana watendaji wa halmashauri wanaposainishana barua hata wengine wakiwa likizo au kwenye wodi wamelazwa

  long walk to freedom is on its last mile
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  We usishgae hiyo posho kuna bomu lingine la pesa zingine za Constituon Development Fund ambazo ziko chini wa wabunge. May be CAG atakuja kutoa ripoti wakati wengine sio wabunge tena.

  Tena Maudhurio yenyewe bora ingekuwa yanachulikuliwa na computerised biometric finger pint. mambo ya kunadika maudhuio kwa mkono na speedo au bic mbunge X anaweza akamundika na mbunge Y.


   
 17. M

  Mbunge Senior Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAKATI Watanzania wameanza kuhoji mishahara, marupurupu na posho wanazopata wakubwa serikalini na kwingineko lengo lake likiwa hao wanaolipwa vizuri wanalipwa hivyo ili wasaidie wananchi kuondokana na umaskini lakini sasa kukiwa na maswali kama HALI YA NCHI NA WANANCHI kwa ujumla inaruhudu kubeba mzigo wa mishahara, marupurupu na posho wanazojilipa viongozi au hakuna uwiano kati yake na michango yake na uwezo na mafanikio yao ya kupambana na umaskini na kuleta maendeleo sio jambo la kushangaza kuijua sura halisi ya wabunge wetu. Nayo sio nyingine ila ule ukweli kwamba WABUNGE WETU WAPO BUNGENI KWA AJILI YA MASLAHI YAO BINAFSI NA SIO KWA AJILI YA MASLAHI YA WATANZANIA.Wanasiasa, Wawekezaji na Wasanzuaji...MWEKEZAJI siyo yule anayekuja kisha akaanza kuwaburuza wananchi na serikali zao za mitaa eti tu kwa sababu sheria zilizopo hazimpi mwananchi Geita au Mara uwezo wa kufanya maamuzi juu ya rasilimali zao.Mwekezaji mzuri ni yule anayetambua udhaifu wa serikali za KIafrika, uroho na uchu wa viongozi wake na akabaini kwamba bila kula na wananchi wa maeneo husika uwekezaji wake unaweza usiwe endelevu au ukawa unakabiliwa na matatizo yasiyokwisha kila siku.Tamaa ya teni pasenti, rushwa na utajiri wa haraka haraka unawafanya baadhi ya viongozi wa kiafrika kuwaabudu wawekezaji na katika lewalewa na upofu wao wanashindwa kutofautisha kati ya WAWEKEZAJI NA WASANZUAJI.
   
 18. B

  Benno JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimesikitika sana kusoma Magazeti Asubuhi hii yakieleza Mheshimiwa Spika atamfukuza Zitto asipochukua Posho kwa siku tatu mfululizo, Posho inayolipwa baada ya ku-saini daftari la mahudhurio. So kama anaonekana Bungeni na unamuona kwa nini umfukuze au ndo mnataka wananchi wafanyeje?


  Inachosha bwana, Mama Makinda what is this Mama?
   
 19. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Shame on her,
   
 20. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama uyu head of ze mjengo analijua alitendalo. She is mixing up things ever since.
   
Loading...