Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!!

Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!!

Wana JF naomba ufahamu zaidi

Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa

Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...

NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu

Tumekupa mkuu. Lakini hivi sio ndio malipo yanafanywa katika kazi nyingi. Ukiingia kazini unaweka sahihi. Wewe uliona ifanyikaje? Au unataka posho za wabunge zilipwaje? I guess inabidi uchambue hadi asilia ya hiyo posho katika kujibu hili swali.
 
Tatizo woote wanafanya sio sababu ya kufikiria watu wengine bali wao wenyewe..
Wameka kisiasa siasa tu... everything about Siasa but not uzalendo..
Ni dhahiri kabisa woote wamekosa busara kabisa ya maamuzi, Tatizo msimamo
wenyewe wa CCM nao umekaa kisiasa kuhusiana na hili...

NDIO namsifu saana Kabwe na maamuzi yake ya kuonesha uzalendo but zijaona sababu
za msingi za yeye kukataa kuwekewa pesa kwenye akaunti alafu yeye mwenyewe
akazipeleka kwenye hio taasisi alolenga.. (Kigoma Development Initiative..)

Na Makinda nae wa ajabu... maana posho personally naamini mpokeaji aweza kataa kuchukua
kama yeye binafsi kaona kua haitaji... yoote hio ushindani, kutaka kuonesha kua anaweza endesha
bunge kwa ku control members zake.... mambo hayaendi hivyo... alifanya mistake the first time
hata kama sera za Bunge zinasema posho lazima in this special case ambayo budget ni issue tete
bado ni heri angekubali kua all is good na wabunge wengine willing wafuate mkombo ila hamna
haja ya kujitangaza... after all ni wazi (ingawa wazi zenye mapungufu...) kua wapo hapo kwa ajili ya wananchi...

All in all lets wait and see...

Kuna kitu kinaitwa a PRINCIPLE. Nadhani hicho kitu ni nadra sana Tanzania maana tumeangukia wimbi la kupenda pesa. Ukiwa na principle, you stand by it! Sio una-compromise kwa ajili ya kurahisisha vitu. Sijui kama umeelewa hilo...
 
Nimesikitika sana kusoma Magazeti Asubuhi hii yakieleza Mheshimiwa Spika atamfukuza Zitto asipochukua Posho kwa siku tatu mfululizo, Posho inayolipwa baada ya ku-saini daftari la mahudhurio. So kama anaonekana Bungeni na unamuona kwa nini umfukuze au ndo mnataka wananchi wafanyeje?

Inachosha bwana, Mama Makinda what is this Mama?

Duh! Kweli Bongo tambarare, yaani mtu analazimishwa kuchukua posho, halafu tunalia kwamba nchi maskini..!!
 
Naona Speaker bado hajajua hoja hii ni nzito kiasi gani, na bado hajajua wanaoisukuma wako serious kiasi gani.
 
Tumekupa mkuu. Lakini hivi sio ndio malipo yanafanywa katika kazi nyingi. Ukiingia kazini unaweka sahihi. Wewe uliona ifanyikaje? Au unataka posho za wabunge zilipwaje? I guess inabidi uchambue hadi asilia ya hiyo posho katika kujibu hili swali.
ni kweli mkuu, ila huwa hatusaini attendance kama hati ya malipo... we first sign attendance, and then pa\yment process inaanza halafu tunalipwa

NIlichokiona hapa ni Mama Makinda kukazania zitto asaini attendance which to me ndi o hiyo hiyo payment form/voucher hapa ndio sielewi

zitto hajakataa kuhudhuria, amekataa posho sasa mama anasema asiposaini anamfukuza... asiposaini hati ya malipo au attendance?? dont they have two different documents

Labda niongezee tu, kuna wakati nilisikia Mbowe ameintroduce CMD specific attendance sheet ili kumanage watoro na wachelewaji... good move but that wouldnt mean a payment advice

najaribu kujifunza IMEKUAJE MAMA MAKINDA KUCHANGANYA ATTENDANCE NA PAYMENT.... NAWEZA HUDHURIA NA NISICHUKUE POSHO HADI WIKI IJAYO AU SIYO?
 
Hata mie nimejiuliza sasa. nikafikiria jambo hili. Mathalani Zito anakuwa bungeni kwa siku tatu, na siku zote hizo ameuliza maswali na kuchangia hoja mbalimbali. lakini hakusaini kwasababu hataki posho, Je, Makinda atamfukuza kwamba hakuudhuria vikao vya bunge?. Na kama atamfukuza zito akadai alikuwepo na kumbukumbu za bunge zinaonyesha Zito alikuwepo na ameuliza maswali na kutoa mchanago wake na wananchi wamemuona katika runinga Makinda atawaeleza nini watu wenye akili zao!. au ndo U-bibi kiboga ninaohusikia. Sipati picha kabisa kwa huyu mwanamke. Kama Jk aliona kapata hapo ni sifuri kabisa
 
sijui na hansad watazichana??

Haka kamama kana kazi kweli
 
Technology itamuumbua Mama Makinda. Kupitia luninga, nchi nzima wanamuona Zitto bungeni kila siku sasa Mama Makinda atasemaje kuwa hajahudhuria vikao? Tatizo la huyu Speaker anaendesha bunge kama enzi za TANU! Kweli wanasema ukitaka kumjua mtu ni wa namna gani basi mmpe madaraka! She is incompetent beyond belief. Hana ubunifu wala busara hata kidogo!

Kabisa huyu mama hana busara..anaendesha bunge kama mji wake, kweli ananikera sana!!!

Ukiacha suala la Zitto, inaelekea kuna wabunge wengi wanaweza kuwa wanapata posho kwa mahudhurio hewa..
 
to be honest hii nchi imekuwa
kama treni inayotembea huku inawaka moto...
na ndani ya treni watu wanabishana je tusimamishe treni kwanza
au tuzime moto kwanza......

yaani hujui utaamka asubuhi na utasoma kipi cha maana
zaidi ya mgogoro mpya somewhere

stupid nation kwa kweli
 
if i were bi. Kiroboto ningeipotezea hii ishu ya Zitto/CDM ya posho. Hii ishu tayari ishawapa political credit CDM na wale wote wanaoiunga mkono so she is on losers' side better anyamaze maana anazidi kuwapa ujiko CDM
Ah ha haaaaa nimeipenda hiii ya bi Kiroboto
 
Mama spika huwa anakuwa mkali sana issue sza upinzani,akishika bango mapaka sijui iweje
 
Wana JF naomba ufahamu zaidi

Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa

Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...

NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu

Serikali iendelee kuzitafuna hela kadri itakavyo. Mafisadi waendelee kuikomba hii nchi hadi ifilisike na kuwa a failed state! Wabunge wajiongezee salary na wajilipe TSHS 50 Million a month. Sitting allowances ziongezwe toka 70K to 500K. Per diem yao iwe 500K. Speaker Makinda aongezwe mshahara kuwa 100 Million a month!!
Nchi iendelee kutafunwa na kutafunika weeeeeeeeeeeeee hadi icollapse kabisaaaaaaaaaa chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Bankrupt!! Labda baada ya hapo ndio wabongo na akina Nape et al tutatia akili sasa na ule mgando wa akili yetu utayeyuka na kuacha ushabiki wa vyama na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama.
 
Napenda Zitto asisaini,jumanne ila aulize swali la utata ili apate muda wa kuwa hewani bungeni siku iyo na mchango wake utakuwa kwenye hansard za bunge,alafu jumatano ndo siku yake ya kusoma bajeti mbadala,alaf alhamisi atoe ufafanuzi wa bajeti kwa maswali yatakayoletwa juu ya bajeti ya upinzani. Alaf siku zote izo asisaini,na tuone kama bi Makinda apo ijumaa atasema Zitto hajaudhuria bunge,ndo zitto aje ahoji nani alisoma bajeti ya upinzani na kutoa mchango siku inayofuata. Saini ya kuhudhuria haipo kumaanisha kuwa saini ndo imeudhuria kikao bali kuwa mtu ameudhuria. Ila kama kuna ushaidi mwingne kuwa mtu uyo yupo hawezi kukataliwa kuwa hakuwepo. Je kama angefika bungen kumradhi kapata ganzi kwenye vidole ina maana posho yake nayo inapata ganzi?makinda jiangalie kauli zako.
 
i though i was the only who needs medical attention, welcome to the club buddy

haya yanatokea bungeni, hivi huko halmashauri kukoje??
 
Napenda Zitto asisaini,jumanne ila aulize swali la utata ili apate muda wa kuwa hewani bungeni siku iyo na mchango wake utakuwa kwenye hansard za bunge,alafu jumatano ndo siku yake ya kusoma bajeti mbadala,alaf alhamisi atoe ufafanuzi wa bajeti kwa maswali yatakayoletwa juu ya bajeti ya upinzani. Alaf siku zote izo asisaini,na tuone kama bi Makinda apo ijumaa atasema Zitto hajaudhuria bunge,ndo zitto aje ahoji nani alisoma bajeti ya upinzani na kutoa mchango siku inayofuata. Saini ya kuhudhuria haipo kumaanisha kuwa saini ndo imeudhuria kikao bali kuwa mtu ameudhuria. Ila kama kuna ushaidi mwingne kuwa mtu uyo yupo hawezi kukataliwa kuwa hakuwepo. Je kama angefika bungen kumradhi kapata ganzi kwenye vidole ina maana posho yake nayo inapata ganzi?makinda jiangalie kauli zako.

Hana ubavu huo yule mama... mambo mangapi ameishia kutisha tu kama anavigombeza vijukuu vyake

actually makinda is failing CCM badly compared to Sitta who was always giving wake up calls, wakamuona mbaya
 
Mh; Esther mbunge wa viti mahalumu wa chadema ameomba bunge lifute iyo posho ya usafiri kwa wabunge ndani ya Dodoma bunge linapofanyika ili kupunguza matumizi ya serikali.Nawasilisha
 
Usafiri kwenda wapi? Unajua si aina zote za posho zinaashiria ufisadi inategemea
huyu mbunge anasafiri kwenda wapi na kwa kazi gani.
 
Duh posho ya kukalia kiti bungeni tu ni mzozo sasa ukigusa fuel si itakuwa Zahma!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom