Wanajamii mnafahamu kuwa wabungwe hulipwa posho ya petrol kwa sh 2,500 per litre?
Hebu tuone wabunge wetu wapiganaji watazipokea kimya kimya au
Wakuu,
Jana nikiwa nasikiliza kipindi cha Jahazi kupitia Clouds FM, nilisikia Kapteni Chiligati akihojiwa kuhusu kuunga kwake mkono swala la kuondolowa kwa sitting alowance kwa Wabunge. Katika maelezo yako, yeye alidai kuwa zinawasaidia kuchangia mambo mbali mbali kwa wapiga kura wao hivyo kuziondoa kutaathiri utendaji wao. Je hii ina ukweli kiasi gani? NAWAKILISHA
if i were bi. Kiroboto ningeipotezea hii ishu ya Zitto/CDM ya posho. Hii ishu tayari ishawapa political credit CDM na wale wote wanaoiunga mkono so she is on losers' side better anyamaze maana anazidi kuwapa ujiko CDM
Peopleeeeeee Powerzzzzzzz!!!!
Zitto amewashika pabaya wasipoangalia katika hili yataibuka makubwa am sure kuna wabunge huwa wanapokea hizo posho hata bila kusaini kwa maana kwamba mbunge akipewa ruhusa ya kutokuwepo bungeni stahili yake ni mshahara tu lakini huwa wanapewa na posho (na nani?) kwa hiyo wakijifanya kuendelea kuchokonoa wataibuka na uchafu zaidi.Wana JF naomba ufahamu zaidi
Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa
Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...
NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu
... and then we expect hawa wabunge kuwabana watendaji wa halmashauri wanaposainishana barua hata wengine wakiwa likizo au kwenye wodi wamelazwa
long walk to freedom is on its last mile