Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
Update...
Tafadhali tupatie updates mkuu. itakuwa vizuri zaidi kama ukiendelea kuelezea kilichotokea!Stori ni ndefu sana, naombeni mnipe kama walau siku mbili au tatu hivi ila ninaweza jibu maswali yenu.
Konsolatha Mungu wetu ni Mungu wa huruma na rehema na huwa nasamehe mtu akitubu kwa kumaanisha kuacha.
Umechagua fungu jema sana na kwakua umeamua kuacha endelea kumwomba Mungu akukuze zaid kiimani na hubiri kwa wengine ili nao kwa wakati wao wamrudie Mungu.
Habari zenu wana jamvi, baada ya kushauriana na wadau kadhaa hapa JF kupitia pm, nimeamua kuyaweka maisha yangu ya upotofu kwenye kitabu, CD ya mazungumzo na filamu....Bado nipo katika mazungumzo na wadau hawa wa vitabu na filamu na tutakapo kuwa tumefikia makubaliano basi nitawafahamisha ni lini kila kitu kitakuwa tayari. Stori yangu ni ndefu sana na inawahusisha wanawake wengi so kuweka hapa JF itanichukulia muda mrefu sana ..Mnaweza kutoa ushauri wenu pia. Asanteni na siku njema.
Mnhhh.....
So,LIKUD and CONSOLATA=
Umesomaje mawazo yangu???
So,LIKUD and CONSOLATA=
Mkuu hii ndio jf inakila aina ya watu. Makahaba,mashemale,walokole ,ma silent killer yaan kila aina ya watu wapo hata wanaojifanya walokole kumbe ni makanjanja.
Jf nouma jaman naiogopa balaa
sticky thread iko wapi siion ujue
wameshaivurumusha nimetafuta majukwaa yote had kule kwenye utambulisho cjaona..