J jinalako Member Joined Apr 8, 2011 Posts 56 Reaction score 2 Jun 10, 2014 #1 1)Nahitaji concrete mixer Capacity: kama cubic metre moja Spea ziwe zinapatikana TZ 2)Petrol water pump. Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank la lita elf 5000 (iwe mobile) Ushauri unahitajika pia
1)Nahitaji concrete mixer Capacity: kama cubic metre moja Spea ziwe zinapatikana TZ 2)Petrol water pump. Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank la lita elf 5000 (iwe mobile) Ushauri unahitajika pia
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Jun 10, 2014 #2 hiyo concrete mixer offer shiling ngapi ..kama used unataka sema nkuonganishe na mdosi mmja yuko saba saba anazo..hiyo ya cubic meter moja
hiyo concrete mixer offer shiling ngapi ..kama used unataka sema nkuonganishe na mdosi mmja yuko saba saba anazo..hiyo ya cubic meter moja