Concrete mixer na water pump zinahitajika

jinalako

Member
Apr 8, 2011
56
2
1)Nahitaji concrete mixer
Capacity: kama cubic metre moja
Spea ziwe zinapatikana TZ

2)Petrol water pump.
Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank la lita elf 5000
(iwe mobile)

Ushauri unahitajika pia
 
Back
Top Bottom