Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

Nimekuelewa hapo. Kama sheria zitafuatwa.
Yule jamaa(TL) alikuwa mbele yao saana strategically ndio maana submission yake aliifanya kila mmoja aelewe kimsingi alikuwa kama mwalimu, ndio maana utetezi ulikuja na wazo la si kunyongwa kama kesi ya uhaini inavyotaka bali ku slide trick maamuzi. Mambo 8 aliyofafanua kwas siku 3 huwezi kuchomoa hata iweje
 
Tukiachana na ushabiki wa kisiasa. Jamaa yupo bright sana na anafahamu sheria, haki na wajibu. Watu kama hawa kwenye jamii ni nadra kutokea. Na wanapingwa vikali kwa maslahi ya wachache.
 
Back
Top Bottom