Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 372
- 576
Wakuu bado nimenyimwa passport
Kwa niniWakuu bado nimenyimwa passport
RUSHWAKwa nini
Hyo mzee haiepukiki,ila je una kila kitu kinachohitajikaRUSHWA
Kila kitu ninacho mkuuHyo mzee haiepukiki,ila je una kila kitu kinachohitajika
Mkuu RUSHWAPassport wiki tu unapata. Au document zako hazieleweki mkuu?
Toa hela mkuu mambo yako yaende. Bila ya rushwa wiki 2 au tatu unapata passport. Narudia pale pale labda document zako zina changamoto.Mkuu RUSHWA
Passport wiki tu unapata. Au document zako hazieleweki mkuu?
Uwenda hajakamilisha baadhi ya viambatanisho ajaribu kuenda kuwauliza kwanzaPassport wiki tu unapata. Au document zako hazieleweki mkuu?
Yeah azingatie hiliUwenda hajakamilisha baadhi ya viambatanisho ajaribu kuenda kuwauliza kwanza