Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).
Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?
Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge
tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....

mhh kweli hii kiboko kama coincidence fulani jana nimeenda saluni, kinadada fulani wakaanza kuongelea ishu ya "vijisenti" vya chenge si ndio jina la mtoto wa mkapa lika come up na huyo mtoto wa wakili aliyemuoa, hao kinadada mi nilikuwa nawaona kama wambea fulani now here is definitely the place to connect the dots, always big thanks to mwnkjj kwa kuibua ishu tata kama hizi.Mkjj,
Vipi hapo, bado Joseph "Joe" Mbuna, ambaye ametajwa kuwa wakili wa Chenge huko nyumbani,ni Mwenyekiti wa Kiwira Coal Mining Ltd,ambaye pia mtoto wake (wa kike) kaolewa na mtoto wa Mkapa (Nicholaus Merinyo)
Huyu ni another joke wa Mr. Chafu, always around akiwa nje ya kazi, ndiye aliyekuwa supervisor wa miradi na mvumbuzi wa miradi mipya, he was never involved na mtandao, kwa sababu hana hiyo big mind, only Ruhinda,
Huyu ndiye aliyekuwa kiungo wa deals za akina yona, lakini zaidi alikuwa confident wa mama, na delas zote za ile charity, lakini lets not forget kwamba the main fish hapa bado ni Mkapa, ndiye chanzo cha hizi deals zote na hawa watu wake kina Ruhinda, Rostam, Mushi, halafu kuna mmoja mnamsahau sana anaitwa super dole mwenye ile stesheni ya mafuta pale pembeni mwa US embassy, ambaye ndiye hasa aliyekuwa anmpa uwaziri Rita Mlaki,
Msululu ni mrefu, lakini wote tutawafikia ili kuwarahishia prosecutor wetu kazi yao, maana tunajua it is only a matter of time kabla mkulu Clean na wajumbe wake hawajatinga kwenye mahakama ya wananchi!
Hivi mama Mkapa mbona kimya sana?Been days without seeing her in them media,what'sup with her?
Anakimbia kivuli chake nini?
Hata EOTF siku hizi haisikiki tena, sijui imekufa au inafanya kazi underground.
Ok stick to the point pls,,,its Yusufu Mushi time,,,wekeni mambo yake hadharani kwa wale walionazo ili tujue pa kuanzia maana tuko kwenye hii kampeni ya kuzitafuta mali zetu zilipofichwa......mmenisoma??? hao kina mama naomba MKJJ waweke kwenye orodha ili wafuatie baadae maana inaonekana watu wanadata zao za kutosha..oooiiiii?
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).
Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?
Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge
tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....
Huyu ni another joke wa Mr. Chafu, always around akiwa nje ya kazi, ndiye aliyekuwa supervisor wa miradi na mvumbuzi wa miradi mipya, he was never involved na mtandao, kwa sababu hana hiyo big mind, only Ruhinda,
Huyu ndiye aliyekuwa kiungo wa deals za akina yona, lakini zaidi alikuwa confident wa mama, na delas zote za ile charity, lakini lets not forget kwamba the main fish hapa bado ni Mkapa, ndiye chanzo cha hizi deals zote na hawa watu wake kina Ruhinda, Rostam, Mushi, halafu kuna mmoja mnamsahau sana anaitwa super dole mwenye ile stesheni ya mafuta pale pembeni mwa US embassy, ambaye ndiye hasa aliyekuwa anmpa uwaziri Rita Mlaki,
Msululu ni mrefu, lakini wote tutawafikia ili kuwarahishia prosecutor wetu kazi yao, maana tunajua it is only a matter of time kabla mkulu Clean na wajumbe wake hawajatinga kwenye mahakama ya wananchi!
Hata EOTF siku hizi haisikiki tena, sijui imekufa au inafanya kazi underground.
connectingto The Dot..mush Alijaribu Kuingia Katika Chama Na Alitaka Kugombea Uongozi Wa Ubunge Wa Afrika Wamashariki Ila Jina Lake Lilikatwa Katika Hatua Za Mwisho Na Kina Makamba..mpaka Leo Mzee Huyu Yupo Tu Na Shughuli Zake Ila Huw Aanazungumza Sana Na Muungwana.