Connecting the Dots: na Yusuph Mushi...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).

Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?

Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge

tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....
 
kama nilivyochangia kwenye thread ya Ruhinda, huyu bwana ndio walewale wanaokula hela za walipa kodi eti kwa sababu ni marafiki wa Mr Clean. Huyu bwana ni mmoja wa wamiliki wa vijikampuni vilivyochota hela BOT na zikaingizwa kwenye kampeni za CCM...ikumbukwe amekuwemo kwenye kamati ya kuratibu kampeni za uchaguzi kwa miaka yote toka 1995 lakini hana cheo chochote ndani ya ccm. Nyumbani kwake ni karibu sana na alipokua anakaa muungwana (JK) lakini haziivi hadi kesho kwa sababu alikua anamdharau kwa kujua wangefanikiwa kumuweka mtu wao (kigoda) mambo yalivyo badilika ndio kama hivyo...Ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Mwananchi Gold....naomba msiniombe ushahidi maana niko mbali na documents tafadhali....
 
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).

Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?

Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge

tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....

Mhh,

inaonekana Mkapa alifanya mabaya kuliko tulivyojua. Hii inatisha kabisa.
 
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).

Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?

Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge

tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....

Mkjj,

Vipi hapo, bado Joseph "Joe" Mbuna, ambaye ametajwa kuwa wakili wa Chenge huko nyumbani,ni Mwenyekiti wa Kiwira Coal Mining Ltd,ambaye pia mtoto wake (wa kike) kaolewa na mtoto wa Mkapa (Nicholaus Merinyo)
 
mhh kweli hii kiboko kama coincidence fulani jana nimeenda saluni, kinadada fulani wakaanza kuongelea ishu ya "vijisenti" vya chenge si ndio jina la mtoto wa mkapa lika come up na huyo mtoto wa wakili aliyemuoa, hao kinadada mi nilikuwa nawaona kama wambea fulani now here is definitely the place to connect the dots, always big thanks to mwnkjj kwa kuibua ishu tata kama hizi.
 
Huyu ni another joke wa Mr. Chafu, always around akiwa nje ya kazi, ndiye aliyekuwa supervisor wa miradi na mvumbuzi wa miradi mipya, he was never involved na mtandao, kwa sababu hana hiyo big mind, only Ruhinda,

Huyu ndiye aliyekuwa kiungo wa deals za akina yona, lakini zaidi alikuwa confident wa mama, na delas zote za ile charity, lakini lets not forget kwamba the main fish hapa bado ni Mkapa, ndiye chanzo cha hizi deals zote na hawa watu wake kina Ruhinda, Rostam, Mushi, halafu kuna mmoja mnamsahau sana anaitwa super dole mwenye ile stesheni ya mafuta pale pembeni mwa US embassy, ambaye ndiye hasa aliyekuwa anmpa uwaziri Rita Mlaki,

Msululu ni mrefu, lakini wote tutawafikia ili kuwarahishia prosecutor wetu kazi yao, maana tunajua it is only a matter of time kabla mkulu Clean na wajumbe wake hawajatinga kwenye mahakama ya wananchi!
 
ES tupe jina badala ya jina la dole tu .Sema usikike kaka .
 
Hivi mama Mkapa mbona kimya sana?Been days without seeing her in them media,what'sup with her?

Anakimbia kivuli chake nini?
 
Hata EOTF siku hizi haisikiki tena, sijui imekufa au inafanya kazi underground.
 
Sijui kilitokea nini katika mfuko huo,

ina maana alipotoka Ikulu tu ndio na mfuko ukafa?kwa hiyo hata na WAMA na yenyewe itacease Salma atakapoondoka Ikulu?

Haya bwana wacha na wao wacheze ngoma ya waume zao...ni aibu sana kwa mama/mwanamke kuburuzwa kortini kwa ufisadi.
 
Ok stick to the point pls,,,its Yusufu Mushi time,,,wekeni mambo yake hadharani kwa wale walionazo ili tujue pa kuanzia maana tuko kwenye hii kampeni ya kuzitafuta mali zetu zilipofichwa......mmenisoma??? hao kina mama naomba MKJJ waweke kwenye orodha ili wafuatie baadae maana inaonekana watu wanadata zao za kutosha..oooiiiii?
 
Hizi habari za Yusuph Mushi zimeishia wapi?
 
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).

Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?

Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge

tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....

Kweli watu wenye uhusiano na Mkapa hao wenye majina ya Mushi?
Ama Yusuphu?
Ama sir Andy Chande...All in all awe MUSHI,MKAPA,MBOWE,KIKWETE AMA YEYOTE YULE...KAMA FISADI NI FISADI TU!
 
Huyu ni another joke wa Mr. Chafu, always around akiwa nje ya kazi, ndiye aliyekuwa supervisor wa miradi na mvumbuzi wa miradi mipya, he was never involved na mtandao, kwa sababu hana hiyo big mind, only Ruhinda,

Huyu ndiye aliyekuwa kiungo wa deals za akina yona, lakini zaidi alikuwa confident wa mama, na delas zote za ile charity, lakini lets not forget kwamba the main fish hapa bado ni Mkapa, ndiye chanzo cha hizi deals zote na hawa watu wake kina Ruhinda, Rostam, Mushi, halafu kuna mmoja mnamsahau sana anaitwa super dole mwenye ile stesheni ya mafuta pale pembeni mwa US embassy, ambaye ndiye hasa aliyekuwa anmpa uwaziri Rita Mlaki,

Msululu ni mrefu, lakini wote tutawafikia ili kuwarahishia prosecutor wetu kazi yao, maana tunajua it is only a matter of time kabla mkulu Clean na wajumbe wake hawajatinga kwenye mahakama ya wananchi!

kaka superdoll ni NASSOR SEIF.........pia anamiliki superdoll,super petroleum,kagera sugar,mtibwa sugar....enzi za miaka ya 1988 kama unamkumbuka huyu jamaa akikaa pale upanga mindu st..national housing alianzisha TIMU YA MPIRA YA KULIPWA- super STARS...........MKAPA ni mmoja wa mentors wake as well as MZEE MWINYI wakati anaanza...

jamaa aliingia mjini kutoka moro miaka ya mwanzo ya 80....na ujue maisha yalivyo ....alipewa lift na rafiki yake kwenye lori hadi jijini...akaazia hapo ..dereva akichanganya na deals za MENO [akinunua na kuuza si mnajua mambo ya selous ],na enzi hizo hakuna deal ilikuwa napesa kama hiyo ..wazungu wa unga bro walikuwa hawajashika kasi,hadi mkurugenzi wa makampuni...........
 
Hata EOTF siku hizi haisikiki tena, sijui imekufa au inafanya kazi underground.

EOTF bado wanazo pesa za kumwaga...kwenye maonesho ya 77 wamefadhili wanawake wajasiriamali kama 300 kutoka kote nchini[nauli,posho,malazi na kuwapa mabanda ya maonesho na mafunzo] ...kutoka nchi nzima ili waje waoneshe bidhaa zao......na pia zile nyumba walizonunua pale opposite na chuo kikuu[mlimani city]...wamezindua kuwa nyumba za watoto yatima....wanaolelewa kama familia..kila nyumba inakuwa na "wazazi" walezi ..waajiriwa
 
Connectingto the dot..Mush alijaribu kuingia katika chama na alitaka kugombea uongozi wa Ubunge wa Afrika waMashariki ila jina lake lilikatwa katika hatua za Mwisho na kina Makamba..Mpaka Leo mzee huyu yupo tu na shughuli zake ila huw aanazungumza sana na Muungwana.
 
connectingto The Dot..mush Alijaribu Kuingia Katika Chama Na Alitaka Kugombea Uongozi Wa Ubunge Wa Afrika Wamashariki Ila Jina Lake Lilikatwa Katika Hatua Za Mwisho Na Kina Makamba..mpaka Leo Mzee Huyu Yupo Tu Na Shughuli Zake Ila Huw Aanazungumza Sana Na Muungwana.

...ni Kweli Muungwana Anazungumzaga Naye...na Hata Majuzi Alimtembelea Huyu Mzee Kabla Hajaenda India For Check Up......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom