Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

Hapana wale watu wa Mungu walirambia pale Mkombozi bank, Maana walishiriki kutuaminisha kuwa Mkuu ni Chaguo la Mungu.

Naam na yeye kawawachia kanisa wahukumu watu wao wa Mungu. Tunangoja Pengo atupe tamko la watu wake.

Vipi kuhusu Masheikh aliosema? wameshajulikana au ni hao Maaskofu tu?
 
Hapana si hilo tu, nimeona

- Kikwete akikubali kujiudhuru kwa Werema,
- nimeona akimshughulikia Tibaijuka,
- nimeona akiwawachia tume ya maadili na wakamshauri amsimamisha Mwaswi ili asiingilie uchunguizi, kafanya hivyo
- nimeona akikataa kutaifisha mitambo kwa faida ya taifa
- nimeona akiwawachia bunge wawashughulikie wabunge ipswavyo
- nimeona akisema Mhongo ni kiporo na anangoja uchunguzi ukamilike
- nimeona akikubali serikali kupitia mikataba yote ya Umeme
- nimeona akikubali sakata zima liendelee kuchunguzwa na vyombo vyote
- nimeona akiamuru kitego cha uchunguzi wa pesa chafu uichunguze stanbic na benki zingine kama zimehusika na usafishaji pesa haramu
- Na nimeona akisema ya Maaskofu na Mashehe yeye haingilii.

Sasa nauliza Jee, Kanisa Msikiti zinasemaje kuhusu Maaskofu na Mashehe aliosema Kikwete?
Bila kusahau alivyoshusha mipasho , alivyojitahidi kupotosha ukweli , alivyojitahidi kumtetea tapeli wa PAP , alivyojitahidi kuficha wizi wake na kutetea wizi wenzake.
Huo mtandao wake wa wizi utashughulikiwa tu siku moja.
 
Wewe unafurahia nini nchi kiyumbishwa na hawa wezi unaowatetea kila siku??? au ashik za bungeni zile mbunge alisema hata wewe unazo??

Labda umeyumba wewe, nchi ipo imara, haka ka mchezo ka Standard Chartered na Mr. Many. Tumestuliwa.
 
Too harsh bro,punguza ukali wa maneno, japo tunatofautiana kimitazamo mara kwa mara na FaizaFoxy ila sidhan kama ashawah kumtukana mtu,binafsi huwa nna conversations nyingi zinazopingana nae ila matusi hapana

Hao ndiyo bavichaa orijino, utawajuwa tu. Ndivyo chadema inavyowalea.
 
rahisi wetu ni mpga deal namba moja, ndio maana kushughulikia mafisadi huwa anatetemeka sana kama sio rais, anaogopa itakuaje akitokea mmoja wa wafukuzwa akivaa ujasiri na kumwaga ugali wakose wote!
 
Habari wadau,

Je,unaikumbuka kampuni ya mawakili ya "IMMA"?

Kampuni hii ndio iliosajili kampuni ya Deep Green Finance inayotuhumiwa kuchota mabilioni kutoka BOT na kumuwezesha mkulu kuingia magogoni.

Kirefu cha IMMA inasemekani ni,I inasimami Ishengoma,M inasimamia Masha,M nyingine Mujulizi na A-Advocates.

Baadae Mujulizi aliteuliwa kuwa Jaji na kuhusu Masha nafikiri unajua.

Sasa leo huyu jaji Mujulizi ndio anatakiwa kuwajibishwa;je hii itawezekana?Tafakari.

Mbali na kutuhumiwa kuchota mabilioni kupitia Deep Green Finance,pia mtu aitwae Ridhiwan alienda kufanya mazoezi ya sheria(externship) katika kampuni hii ya IMMA.

Hio ni summary tu,ukitaka habari kamili tafuta gazeti la MAWIO la Alhamisi,Desemba 25-31,2014, kisha nenda ukurasa wa 4 utakutana na makala ya mwandishi Nyaronyo Kicheerem

Watanzania walio wengi wanawasiwasi sana Juu ya Tabia mbaya iliyojengeka na kuota mizizi nayo ni tabia ya KULINDANA. Viongozi wetu badilikeni kuweni wazi kwa mambo yenye public interest.
 
Bila kusahau alivyoshusha mipasho , alivyojitahidi kupotosha ukweli , alivyojitahidi kumtetea tapeli wa PAP , alivyojitahidi kuficha wizi wake na kutetea wizi wenzake.
Huo mtandao wake wa wizi utashughulikiwa tu siku moja.

Hizo sasa porojo, weka ushahidi, kama hauna ujuwe unahororoja kwa chuki zako na kubwabwaja kwa kukosa hoja.
 
wewe nyamaza kwanza ulishasema hakuna atakaewajibishwa sasa naKushangaa hapa.

Usiseme uongo si vyema, nilisema hakuna atakaewachia ngazi, sikusema hakuna "atakaewajibishwa".

Halafu nakuomba tafuta ile nyuzi ukaisome ndani, do not judge the book by its cover.

Hapa mleta mada kapachikwa tena uongo wa kuuleta na yeye kaingia kichwa kichwa.
 
Hizo sasa porojo, weka ushahidi, kama hauna ujuwe unahororoja kwa chuki zako na kubwabwaja kwa kukosa hoja.
Alianza na EPA , deep green na meremeta hizo fedha zikamuingiza madarakani.
Akiwa madarakani akapiga za Richmond na sasa ameona atuage watanzania na escrow.
Kwa hakika hizo atalipia yeye , familia yake na maswahiba wake.
Hata wewe mahabuba wake tutakuwajibisha kwa wizi wa jamaa yako.
 
Rais wa hovyo anayeshauriwa na wezi wenzake na mafisadi ndiyo unamuona wa maana sana.
Mwambie aendelee kuwasiliana na kina Ruge waendelee kumuagiza nini cha kufanya aone kama atadumu na huo wizi wake.

Naona sasa umekosa hoja. Kikwete anawasiliana na akina Obama na wale jamaa zako akina Cameron, usifanye mchezo na Kikwete.

In sha Allah atadumu kwa kuwa si wewe unaeamuwa kuhusu maisha yake au hata yako mwenyewe.
 
Usiseme uongo si vyema, nilisema hakuna akaewachia nganzi, sikusema hakuna "atakaewajibishwa".

Halafu nakuomba tafuta ile nyuzi ukaisome ndani, do not judge the book by its cover.

Hapa mleta mada kapachikwa tena uongo wa kuuleta na yeye kaingia kichwa kichwa.
Kuwa na aibu basi kusema uongo , wewe si umetoka kuswali magharibi muda si mrefu, sasa uongo wa nini tena?
 
Kikwete siku ile anaongea na Watanzania kupitia wazee wa Dar. alisema;

Wanatafuta sifa Kilaini


Connect the dots.
 
Huyu anawahamisha kwenye mada hamna lolote analochangia zaidi ya kuwavuruga, mtaacha mada utakuta kila mtu anahangaika nae na hilo ndilo alilotumwa kulifanya hapa.

Haya hapa majibu ya hii mada:

Azimio la Tano: Linasomeka; "Bunge linaazimia kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aunde Tume ya Kijaji ya Uchunguzi kuchunguza utovu wa maadili dhidi ya Jaji Aloysius Mujulizi na Jaji Profesa Eudes Ruhangisa wa Mahakama Kuu ya Tanzania"
Azimio hili nimelipokea, tumelijadili hata hivyo, itabidi tufuate utaratibu wa kikatiba na kisheria wa kushughulikia masuala ya namna hiyo. Inatakiwa suala kama hili lianzie kwenye Mhimili wa Mahakama yenyewe na siyo kwa Rais au Bunge. Tume ya Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumtaka Rais aunde Tume ya Kijaji ya kumchukulia hatua Jaji yeyote pale inaporidhika kuwa amepoteza sifa za kuendelea kufanya kazi hiyo. Nashauri suala hili tumuachie Jaji Mkuu wa Tanzania alishughulikie atakavyoona inafaa.
 
Back
Top Bottom