Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
= akili
Hivi wale Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliochotewa na Ruge vipi?
Hapana wale watu wa Mungu walirambia pale Mkombozi bank, Maana walishiriki kutuaminisha kuwa Mkuu ni Chaguo la Mungu.
= akili
Hivi wale Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliochotewa na Ruge vipi?
Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe hoja imemshinda.
Faiza foxy lini katapeli? Na kamtapeli nani?
kawawachia mahakama, washughulikie kimahakama, na si huyo pekee na jaji ruhangisa jee, mbona mpo kimya?
Hivi na wale Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliotajwa na kulamba kutoka kwa Ruge, Kanisa Katoliki linasemaje?
Maana Kikwete karusha hilo, halafu Kikwete kaniacha hoi, eti wachungaji sijui Mashehe, hili yeye hayumo. Kulikuwa kuna shehe pale? kwa vijembe hajambo.
Wewe na Kikwete wako ndiyo waongo na wapotoshaji wakubwa.
Niliwahi kuandika hii kitu , ila sikujua kama huyo Mahabuba wako Kikwete ana mahusiano ya kifisadi na mujuluzi...
Naona chama cha mafisadi on work
Tume ya kutunga Sheria?
Kawawachia mahakama, washughulikie kimahakama, na si huyo pekee na Jaji Ruhangisa jee, mbona mpo kimya?
Wacha uongo, wewe kila uongo unaolishwa unakuja kuutupia hapa, hata hutumii akili yako hata kiduchu basi, Mbona Ruhangisa hujamtaja, au na yeye si jaji? soma:
Azimio la Tano: Linasomeka; Bunge linaazimia kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aunde Tume ya Kijaji ya Uchunguzi kuchunguza utovu wa maadili dhidi ya Jaji Aloysius Mujulizi na Jaji Profesa Eudes Ruhangisa wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Azimio hili nimelipokea, tumelijadili hata hivyo, itabidi tufuate utaratibu wa kikatiba na kisheria wa kushughulikia masuala ya namna hiyo. Inatakiwa suala kama hili lianzie kwenye Mhimili wa Mahakama yenyewe na siyo kwa Rais au Bunge. Tume ya Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumtaka Rais aunde Tume ya Kijaji ya kumchukulia hatua Jaji yeyote pale inaporidhika kuwa amepoteza sifa za kuendelea kufanya kazi hiyo. Nashauri suala hili tumuachie Jaji Mkuu wa Tanzania alishughulikie atakavyoona inafaa.
Wala halishghulikii yeye kawawwachia wenyewe mahakama na kaelezea kawaida yake huwaje, majaji watatu, mmoja kutoka nje ya nchi na huyo wa nje ya nchi ndiye anakuwa kiongozi wa hao wengine.
Kikwete angeamuwa yeye si ndiyo ingekuwa mwao. Hapo haingilii Mhimili wa mahakama na mnakuja kudanganya eti "ndio anatakiwa kuwajibishwa na mamlaka yake".
Wacha = Acha
, Mbona = , mbona
? soma: = ? Soma:
Kutetea ufisadi nikumkubali shetaniSasa tatizo nini? si ndiyo hayo hayo aliyasema Kikwete Diamond na sasa kawawachia mahakama wafanye hivyo.
Hivi upo sawa kweli?
Kawawachia mahakama, washughulikie kimahakama, na si huyo pekee na Jaji Ruhangisa jee, mbona mpo kimya?
Sasa tatizo nini? si ndiyo hayo hayo aliyasema Kikwete Diamond na sasa kawawachia mahakama wafanye hivyo.
Hivi upo sawa kweli?
Hivi kuuliza kuhusu Maaskofu waliochukuwa mgao ni udini?
Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe hoja imemshinda.
Wewe umeona hilo tu , hotuba za Kikwete siku zote huwa ni vijembe na mipasho. Hakuna tofauti na taarabu.
Vipi Kuhusu Jaji Ruhangisa yeye hausiki na habari ya mleta mada?
Sasa tatizo nini? si ndiyo hayo hayo aliyasema Kikwete Diamond na sasa kawawachia mahakama wafanye hivyo.
Hivi upo sawa kweli?