MAGUFULI MJANJA SANA ALIKATAA KUFUKUA MAKABURI AKAIACHA MIZIMU IFUFUKE YENYEWE. IMMA ADVOCATES NI MZIMU. MIZIMU MINGI ITAFUFUKA.
IMMA Advocates ni Kampuni ya Mawakili Protase Ishengoma, Aloysius Mujulizi, Lawrence Masha na Sadock ya Dar es Salaam. KAMPUNI ya DEEP GREEN imesajiliwa kwa anwani ya IMMA HOUSE. Ni hao hao IMMA ADVOCATES.
Kampuni hii ilichota Bilioni 8 kwenye akaunti ya madeni ya nje (EPA). Jaji Mujulizi alijiuzulu nafasi yake Mahakama Kuu siku za hivi karibuni, IMMA ADVOCATES walituhumiwa sana na upinzani kwa kutatetea Makapuni ya TANGOLD LTD na DEEP GREEN FINANCE CO. LTD baada kuchota pesa katika akaunti ya Madeni ya nje (EPA) kutoka benki kuu ya Tanzania (B.O.T)
Leo IMMA ADVOCATES inatetewa na Tundu lissu, Lissu yuko tayari kutoa machozi ya damu kuitetea Kampuni ambayo awali aliituhumu kwa ufisadi.
IMMA ADVOCATES ndiyo mtetezi wa Kampuni ya kiingereza ya ACACIA katika sakata la Madini. TUNDU LISSU alikuwa wa kwanza kung'aka kuwa tutanyolewa kwa chupa endapo tutawasitishia ACACIA kusafirisha mchanga wa dhahabu kwenda nje.
My take: Hawa IMMA Advocates ni Mzimu umefufuka baada Kaburi lake kuachwa bila kufukuliwa. Hawa walikuwa wanachota pesa za watanzania kupitia Makampuni ya kigeni yaliyokuwa yanalihujumu taifa. Kipindi hicho Lissu alipiga kelele kwa vile LAWRENCE MASHA alikuwa CCM na aliujua ukweli lakini hakuwa na mgawo.
Leo MASHA ni mwana CHADEMA na IMMA ADVOCATES inaitetea Kampuni ya ACACIA ambayo hapana shaka kuwa LISSU anavuta mkwanja kutoka kwayo, , mambo yamebadilika.
IMMA ADVOCATES ni Kampuni moja tu hiyo. Hapana shaka kuna Makampuni mengine ya Mawakili ambayo kwa namna moja ama nyingine yalikuwa na uswahiba na wahujumu uchumi wetu na bado yanaendelea kufanya hivyo.
Serikali isirudi nyuma , izidi kuyachokonoa Makapuji hayo ili vibaraka wao wajitokeze zaidi. Tunataka kuyajua MAZIMWI YATUJUAYO yanayoshirikiana na Wageni kulihujumu taifa letu.