CONGRATULATIONS SHISHI!....welcome to the club

wanajamvi sherehe za kumpongeza MR & MRS sijui nani (.shishi......) tunafanyia wapi na-hamu ya kuwaonyesha shoo maalum ya Masebene ..wakati mnaendelea kukata valuu , Konyagi, Tusker baridi na mdudu ..mie naendelaea na makamuzi ..

1. kakague
2. kakague tena kwa kutambua umuhimu na uhusiano wa hapo kwenye red
3. wewe ni GT, umejuaje tunahitaji sababu za kunywa tena na tena???
4. unaonaje tukakafanyia kale kabinti ketu sherehe ya kipaimara ijumaa? we need to have a reason to drink bana!!
 
DAH!
mpwaaz bana kwa kuokoa jahazi unatisha
 
Nawe kakague.
Kama unaona uvivu ikagulie hapahapa: Thanks
Kimefika kipindi sasa hata ukifanikiwa kunyoa nywele saluni bila umeme kukatika tunafanya sherehe ili mradi tu: TUNYWE na KUNYWA tena na TENA.
 
1. Kakague
2. Kakague tena kwa kutambua umuhimu na uhusiano wa hapo kwenye red
3. Wewe ni gt, umejuaje tunahitaji sababu za kunywa tena na tena???
4. Unaonaje tukakafanyia kale kabinti ketu sherehe ya kipaimara ijumaa? We need to have a reason to drink bana!!

hahahaha bigirita wewe umetype hapo hee mbona mie naona kama sivyo ndivyo harafu wewe hizo konyagi mtaungua mapafu mtupe kazi ya ziada
 
Nawe kakague.
Kama unaona uvivu ikagulie hapahapa: Thanks
Kimefika kipindi sasa hata ukifanikiwa kunyoa nywele saluni bila umeme kukatika tunafanya sherehe ili mradi tu: TUNYWE na KUNYWA tena na TENA.
NAWE KAKAGUE!
kakague tena na tena na tena!
imefikia mahali sasa hata mtu AKINYWA KRETI ZIMA LA BIA tunaitana tena na tena na tena bar KUMJADILI KWAMBA ''huyu van damme anapata wapi kipaji cha ajabu kiasi hichi?''
 
DAH!
mpwaaz bana kwa kuokoa jahazi unatisha

mabinamu inapofika swala la kudumisha mila mmh nawaaminia sana ....Ila tuko sambamba ..valuu moja ..Tusker bariiiiiiiiiiidi mbili,valuu ya tano Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiidi 15 ...
tetetetet..Nyama choma ..
 
mabinamu inapofika swala la kudumisha mila mmh nawaaminia sana ....Ila tuko sambaa ..valuu moja ..Tusker bariiiiiiiiiiidi mbili,valuu ya tano Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiidi 15 ...
tetetetet..Nyama choma ..
NAWE KAKAGUE!
KAKAGUE KAKAGUE KAKAGUE
imefika mahala ladies wanatukubali kwa kudumisha milaaz
imefika mahala mke wa rais anaweza kutoa mchanganuo halisi wa VALUU-TASKA RATIO
 
NAWE KAKAGUE!
kakague tena na tena na tena!
imefikia mahali sasa hata mtu AKINYWA KRETI ZIMA LA BIA tunaitana tena na tena na tena bar KUMJADILI KWAMBA ''huyu van damme anapata wapi kipaji cha ajabu kiasi hichi?''
Huna haja ya kukagua manake ni uhakika!
Kwa mantiki hiyo basi, nawakaribisheni katika mjadala wa kumjadili big brother:
Ilikuwaje akaweza kuamka asubuhi saa 11 ilhali jana yake alifakamia bila huruma valuu chupa nne?
Mjadala huu utafanyikia katika ukumbi wa Zero Pub kuanzia saa 11 jioni siku ya Ijumaa.
Wote mnakaribishwa.
Watoa mada watakuwa Geoff, Bigirira, Fidel, Kaizer na Next Level.
Mgeni Rasmi atakuwa Big Brother Mwenyewe ODM a.k.a baba la matesha
Hede hede hedeeee zitakuwepo.....
 
WATU PIIIIIIIIIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
nguja nilisukumizie tukutuku gereji huko walifanyie service.
 
mabinamu inapofika swala la kudumisha mila mmh nawaaminia sana ....Ila tuko sambamba ..valuu moja ..Tusker bariiiiiiiiiiidi mbili,valuu ya tano Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiidi 15 ...
tetetetet..Nyama choma ..

habari bestlady/matron

umeamka au unalala??

samahani kama nitakukwaza lakini sijaelewa
 
mabinamu inapofika swala la kudumisha mila mmh nawaaminia sana ....Ila tuko sambamba ..valuu moja ..Tusker bariiiiiiiiiiidi mbili,valuu ya tano Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiidi 15 ...
tetetetet..Nyama choma ..

valuu moja bia moja, mambo ya kuzidiana hatutaki,
tunataka usawa!!.......halafu umenikumbusha, ngoja niweke order ya mbuzi kabisa,
mbavu kidogo, na jembe!!.....au weka mkono wote na mbavu nusu......Fidel amesema anakuja!!
hahahaaa!!!
 
NAWE KAKAGUE!
KAKAGUE KAKAGUE KAKAGUE
imefika mahala ladies wanatukubali kwa kudumisha milaaz
imefika mahala mke wa rais anaweza kutoa mchanganuo halisi wa VALUU-TASKA RATIO

Mie sieelewi Binamu nikakague wapi thatha ..Chawote Bar au
 
Geoff
user-invisible.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Jan 2009
Location MARANGU NIGHT PARK
Posts7,323
Thanks2,043
Thanked 2,221 Times in 1,507 Posts
Rep Power 36
 
wanajamvi sherehe za kumpongeza MR & MRS sijui nani (.shishi......) tunafanyia wapi na-hamu ya kuwaonyesha shoo maalum ya Masebene ..wakati mnaendelea kukata valuu ,Tusker baridi na mdudu ..mie naendelaea na makamuzi ..

zitafanyika nje ya segerea na wewe utakamua na pingu za jerry muro mkononi HII NI KUONESHA MSISITIZO KWAMBA NDOA NI KIFUNGO heheehe sisi wanasayansi tunaitaga hii ni kuelimisha kwa lugha ya picha heheeh.
 
Back
Top Bottom