CONGRATULATIONS SHISHI!....welcome to the club

hivi anayepewa Congrats bado yuko maternity ? sijauona uso wake hapa ndani Geoff umemuacha wapi?
naona bado yupo likizo fupi anakula uzazi....

G inabidi umpelekee shishi thupu ya silinder head kesho asubuhi! sawa, anasema madhiwa yanagoma kutoka.
Usisahau kununua na pilipili manga.
hehehehe!nimeinote hiyo WITH SO MANY THANKS
 
Thanks my dears....leo ndio nimejtokeza kidogo tu...thanska again kunikaribisha kwenye hii club mpya am looking forward to the adventures. I Cant respond to each and every post but take this from the bottom of my heart. Ahsanteni sana. eti sasa ni Mrs.....LOL
Mrs. YB ehehehhehehheh.......
 
Back
Top Bottom