Rais JK... nilipokusukiliza asubuhi ya jana redio clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya lakini nilikua naogopa sana kuangalia TV nikihisi uchovu wa kampeni ungekuweka chini kabisa
Lakini nshukuru umeweza kukaa live kwa masaa mawili na kadri muda ulivyokua ukienda, na confidence yako ilikua inakua... hongera sana
Inagwa mahojianoyalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans... bado ulijitahidi sana na kwa hili nasema Jungu kuu halikosi ukoko
Pamoja na kusema yote hayo, bado nina wasiwasi kama keli umenikonvisi kukupa kura yangu....
Au nina kichwa ngumu?
Hapana mkuu akili unazo na kichwa chako mnazo tu jamaa ndo mburura!Rais JK... Au nina kichwa ngumu?
Hivi kwa nini hizi question and answer sessions zinaitwa "mdahalo"? What ze ***
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
Umeona eeh! yaani protecting JK has come with huge price to pay........ I guess hata mashuleni debates zitaanza kuonekana si muhimu!
Anatumia muda mrefu sana kujizungusha kwenye swali moja, ila amedhihirisha kuwa sio mweledi, na vision yake kama anayo is completely obscured.JK amepewa two chances, kuprove himself, to everyone's disappointment ameshindwa. Na mdahalo wenyewe wauliza maswali walishapangwa na maswali ya kumjenga ila kashindwa kuyatumia vizuri.Kama ingekuwa ni nchi kama US or UK, his performance kwenye midahalo could have costed him dearly, lakini kwa kuwa ni TZ, anapeta tuu.
Yes Indeed!Ule haukuwa mdahalo bana bali ni kipindi cha maswali (awe aliyafahamu tokea awali au la) na majibu
May be... kheeee kheeee heeeee!Au nina kichwa ngumu?
Yes Indeed!
Anyway mbona umepotea sana?
Funny enough kwenye concluding remarks wala hajaomba kura wala kukiombea chama chake! One might think he didn't care, lakini the fact is ni mtupu kiasi kwamba hata alisahau why he was there!
Ila jamaa namwonea huruma sana kama siyo vyombo vya dola kusaidia hatoki!Waandishi wamenikera kwa njaa zao na unafiki wao wanafikiria udc na ubunge wakuteuliwa hakuna kingine the're useless jnlst.