ugonjwa wa ebola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mbona Stori ya Tanzania kupewa Bilioni 2.6 na Marekani imeripotiwa sana. Kuna nini?

    Wakuu, Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola

    Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola milioni 1 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi bilioni 2.63 za Tanzania, kusaidia kuimarisha maandalizi na utayari wa Tanzania katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, Wananchi waendelea kuwa waangalifu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoripotiwa katika baadhi ya nchi za Afrika. Akijibu swali la Mbunge Asha Moto wakati wa kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni Juni 4, 2026 Waziri Mkuu amesema serikali inaendelea...
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu imejiandaaje kukabiliana na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa Ebola?

    Habari wakuu!! Kila mtu mwenye mazoea ya kupata habari ni shahidi wa yale yanayoendelea Nchini Congo juu ya mlipuko wa ugonjwa hatari wa EBOLA. Kwa ujirani na maungiliano ya kibiashara baina yetu na Congo bila hata Sisi tupo kwenye hatari kubwa kuingiliwa na ugonjwa ikiwa hatua za haraka...
Back
Top Bottom