Congo ilitakiwa iwe tishio kijeshi sijui wanakwama wapi

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
Wacongo ukiwakuta hapa mjini kazi yao ni kupaka mikorogo kunyanyua vyuma na kuuza sura tu ila swala la kuonewa na Rwanda kwa kweli ni aibu

Congo wana kila aina ya madini ambayo kama wangekuwa makini na kuungana kama Taifa moja wangekuwa ni tishio kiuchumi na kijeshi hapa Africa hakuna mtu angeweza kuwasogelea, kumbukeni madini ya mabomu ya Nuclear yaliyodondoshwa kule japan , Historia inaeleza kuwa madini muhimu yaliyofanikisha kutengeneza yele mabomu yalichimbwa hapo hapo Congo yaani Congo wana kila aina ya silaha wamezikalia Ardhini

Wacongo ni kama wana laana ambayo haiwezi kuisha kamwe, Congo ingewekeza vizuri kwenye Jeshi la Tecnolojia ,Nchi kama Rwanda ambayo ni sawa na ka mkoa mmoja wa Tz ingepewa onyo moja tu la kuangamizwa kama wakiendelea kuleta masihara, Yaani Rwanda asingesubutu kusogea pale, ila Congo ni kama walishachelewa kuwekeza kwenye jeshi la kisasa

Na wacongo wenyewe kupigana wenyewe kwa wenyewe ndio kunawaponza hadi adui inaingia kwnye Ardhi yao anabeba madini wao wapo tu, naona Raisi wao wa sasa ndio kashtuka ndio maana kagame hana amani kwa sasa

Mkitaka kujua Kagame sio tishio kama anavyosifiwa hapa kumbukeni namna Jk alivyokuwa anampelekea moto hadi wakawa hawaivi, pamoja na kupelekewa moto watu wake wa m23 ila Kg hakuthubutu kuingiza pua kwenye Ardhi ya Tz

Congo ina madini ya kuunda silaha za kutisha wameyakalia ardhini , wacongo wengi wanapaka mikorogo na kufuga miili ila linapokuja swala la kuilinda nchi yao ni waoga
 
DRC wasipokua makini raia wa mikoa ya Kivu wa ae da kukiona Cha mtemakuni. Wanefunga mipaka yao Rusizi (Kivu kusini) na Grande Barriere (Kivu kaskazini) huku mpaka wa Bunagana (DRC Uganda) uko mikononi mwa M23!! Miji ya mashariki mwa Congo hutegemea bidha nyingi sana kutoka au kupitia Rwanda na Uganda na access hio ni kama haipo kwa sasa. Maisha ya wakongomani yanaenda kua magumu Sana.
 
M23 wanataka nini hasa. Madai yao ni nini?
Je M23 ni RAIA wa Congo?
DRC wasipokua makini raia wa mikoa ya Kivu wa ae da kukiona Cha mtemakuni. Wanefunga mipaka yao Rusizi (Kivu kusini) na Grande Barriere (Kivu kaskazini) huku mpaka wa Bunagana (DRC Uganda) uko mikononi mwa M23!! Miji ya mashariki mwa Congo hutegemea bidha nyingi sana kutoka au kupitia Rwanda na Uganda na access hio ni kama haipo kwa sasa. Maisha ya wakongomani yanaenda kua magumu Sana.
 
Hapo kuna damu imeshamwagika ya wanyarawanda kwa ahadi ya kuerejesha nchi mikononi mwa kabila baba(marehemu ) kwaa ahadi ya kuwagaia kipande cha ardhi kivu mashariki saaa congo wamegoma bahati mbaya hata kabila mdogo na mtawala stisekedi na kagoma hapo sasa ndo wanasema liwalo na liwe rwanda akiwa sponsor wa hili kama unaikumbuka VILUNGA AGREEMENT huo ndo mkataba wa damu ambao unaleta shidah pia rwanda inahofu ya interahanwe wanaotaka kurudi rwanda wapo congo misituni wengine ni vijana wamezaliwa msituni humo humo wanataka rwanda yao hapo ndo shidah ilipo.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Yaani kagame akose amani kwa ajili ya Hawa ? Wanajeshi ambao wanapigwa na M23 mpk wanakimbilia Uganda huku wakiwaacha wananchi nyuma Yao .

Wacongo kwny social media wanafanana Sana na Raia wa UKRAINE unaweza kudhani wanashinda Vita kumbe wanakufa Kama kuku huku wakitegemea hashtag Yao ya SLAVA UKRAINE SLAVA UKRAINE SLAVA UKRAINE itawaokoa

Ku-Instill uzalendo kwa wanajeshi wa nchi yako+Proper training ndio uchawi wenyewe ulipo hapo.

CHOGM ikishaisha tutarudi hapa kupeana updates.
FT3XE4qXsAUg6FF.jpg
 
Wacongo ukiwakuta hapa mjini kazi yao ni kupaka mikorogo kunyanyua vyuma na kuuza sura tu ila swala la kuonewa na Rwanda kwa kweli ni aibu

Congo wana kila aina ya madini ambayo kama wangekuwa makini na kuungana kama Taifa moja wangekuwa ni tishio kiuchumi na kijeshi hapa Africa hakuna mtu angeweza kuwasogelea, kumbukeni madini ya mabomu ya Nuclear yaliyodondoshwa kule japan , Historia inaeleza kuwa madini muhimu yaliyofanikisha kutengeneza yele mabomu yalichimbwa hapo hapo Congo yaani Congo wana kila aina ya silaha wamezikalia Ardhini

Wacongo ni kama wana laana ambayo haiwezi kuisha kamwe, Congo ingewekeza vizuri kwenye Jeshi la Tecnolojia ,Nchi kama Rwanda ambayo ni sawa na ka mkoa mmoja wa Tz ingepewa onyo moja tu la kuangamizwa kama wakiendelea kuleta masihara, Yaani Rwanda asingesubutu kusogea pale, ila Congo ni kama walishachelewa kuwekeza kwenye jeshi la kisasa

Na wacongo wenyewe kupigana wenyewe kwa wenyewe ndio kunawaponza hadi adui inaingia kwnye Ardhi yao anabeba madini wao wapo tu, naona Raisi wao wa sasa ndio kashtuka ndio maana kagame hana amani kwa sasa

Mkitaka kujua Kagame sio tishio kama anavyosifiwa hapa kumbukeni namna Jk alivyokuwa anampelekea moto hadi wakawa hawaivi, pamoja na kupelekewa moto watu wake wa m23 ila Kg hakuthubutu kuingiza pua kwenye Ardhi ya Tz

Congo ina madini ya kuunda silaha za kutisha wameyakalia ardhini , wacongo wengi wanapaka mikorogo na kufuga miili ila linapokuja swala la kuilinda nchi yao ni waoga
Hiyo Vita imetengenezwa na wazungu sababu ya madini,
Rwanda ni wakala tu.
 
Kuna nchi moja inaelekea huko huko maana sahv kila mtu anataka kuwa mkata mauno,mpk poda

Ova
Mmh!! unawalaumu congolais!!!! nakushangaa mno kabisa. Hujui Nigerira ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ghafi ya petroleum hapa Africa ni kama wako OPEC, wako wapi ni umaskini mkubwa na vita kule jimbo la delta, Angola wana mafuta na Almasi kwa wingi, wako wapi vita mtindo mmoja. THIS IS AFRICA and THE WORLD AT LARGE. hata cc ni hivyo hivyo tu. maendeleo yaliyopo hayaakisi RASIMALI tulizo nazo. WADHUNGU wako bussy kuhakikisha hatufurukuti kwa namna yoyote ile. MADILA GAWIZA NGOOSHA!!!
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii YAYA GETEEEE
 
Back
Top Bottom