Confusions between life and death

Confusions between life and death

ni kweli mkuu wangu unachokisema!ila mmnh!!nawaza nikifa itakuwaje kaburini,nabaki naogopa tu.

Kimbley;
Wala usiogope kabisaaa. Kaburini hulala mwili tu. Hapo ndo mahali pake, kama vile mbegu ya mhindi inavyo oteshwa. Cha maana ni nafsi yako. Huondoka na kumwendea mwenyewe aliyekupa. Je utakuwa umeitendea haki nafsi yako? Chuka mfano; Najua umehudhuria sherehe nyingi tu za harusi, yule bibi arusi, angekuwa amekuazima gauni lako jeupe la kwenda kufungia arusi tu akurudishie, naye ni rafiki yako kipenzi usiyeweza mnyima kitu. Ukampa na anajua wazi weye arusi yako ni baada ya mwezi mmoja tu, umejiandaa vya kutosha, Je utafurahi ukimwona anajirusha kila mahali hata kwenye michongoma na mbigili na matope? Nadhani kwa hasira waweza kumyang'anyia hapo hapo kwenye ukumbi.
 
Nahisi nitalala kwa maluweluwe leo hakyamungu!!
 
Nahisi nitalala kwa maliweluwe leo hakyamungu!!

Kulikoni? Hakuna woga wa kifo tena. Mbona mtu anasafiri kwenda mbali haogopi kurudi nyumbani? Kabla hujalala tengeneza tu njia zako na Muumba wako
 
Sawa mkuu nimekupata vyemaaaa!!
 
Mfano wakufa ni mtu akilala nakuota ndoto, kwenye ndoto unaweza ukaenda marekani apoapo ukawa china. Kwaiyo ukifa roho yako itabaki inaelea tu duniani mwili ndio unaoza. Ndomaana mtu akilala unaweza ukambeba ukamlaza chini bila kujua sababu roho huwa temporarily imeachana na mwili. Hayo unaweza kuya prove kwa kuangalia kimila zaidi. Wanaokwenda kutambikia kwenye makabuli tambiko likiwa sussessiful utaona vitu pale may b panzi wengi wanaruka wanakuja pale nk. Ndomaana mtu mfano mzazi akakuambia nikifa usikanyage kabuli langu...kweli ukienda utasikia mtu hata anaweza anguka au kupoteza fahamu. Roho inakuwa nanguvu sana dhidi ya roho iliyopo ndani yamwanadamu. Wengine utawasikia makabulini kuna mauza uza sana. Kunarafiki yangu alikuwa anapenda kwenda kuvuta bange pale makabuli ya sinza, anadai wakati wanavuta nawenzake huwa wanakaa juu ya makabuli, sasa kuna kabuli mojawapo lilikuwa linawapiga shoti ya umeme.
Saanyingine huwaga najiuliza Mungu ameficha wanadamu kujua what happens after death maana huenda nikuzuli kuliko huku duniani na labda watu wangejua siajabu wangekuwa wanajiua tu kukimbia matatizo duniani.
Swali jingine. Kwanini wengi nasikia mtu akifa lazima anye kidogo, wengine anakufa kwa kutapatapa, mwingine anatoa sauti ya kutishika km kaona kitu flani, mwingine anafumba tu macho?
 
Umechanganya vitu vingi kwa wakati mmoja lakini ni kwamba usidhani kuwa waliolala makaburini wanabadilika baada ya kufa kama mtu alikuwa kibaka atakufa na ukibaka wake hivyo hivyo kwa mzizi tapeli mwizi muongo mbea mshirikina shehe padri nk nk
Kwahiyo ukikaa juu ya kaburi la mtu na ukakutana na mambo ya ajabu jua ni walewale
Kuhusu 'kunya' kidogo si kweli, si kila mtu inakuwa hivyo na wale wafao kwa mahangaiko wana siri mzito kuhusiana na maisha yao lakini bado usisahau kitu kiitwacho 'hari za kifo'
 
Kaburini hutaenda wewe bali huu mwili uharibikao hata wakati wa mazishi utakuwa unaona kila kitu ukiwa pembeni wabaya wako wanafiki wakupendao kwa dhati wenye majonzi ya kweli nawe siku hiyo Utawajua wote ila hutaweza kuwasemesha kwakuwa Hu binadamu tena bali roho

Kwani utakuwa bado hapa duniani au tayari kwenye njia eidha ya kushoto au kulia (njia pana au nyembamba)
 
Back
Top Bottom