Confusions between life and death

Confusions between life and death

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1433960410945.jpg1433960424836.jpg1433960444522.jpg1433960462357.jpg1433960480646.jpg1433960497157.jpg1433960511579.jpgBaki na msimamo wako ukiyafuata haya utachanganyikiwa
 
Mimi naogopa sana kufa!!ijapokuwa ni lazima ila naogopa sana.
 
Mimi naogopa sana kufa!!ijapokuwa ni lazima ila naogopa sana

Usiogope kwakuwa hujui utakufa lini na utakufaje cha muhimu sana ni kumuomba Mungu ufe vizuri kwa imani yako kwakuwa kama hujatengeneza ukiwa hai hutatengeneza ukiwa mfu...!
 
mshana usiku huu wengine chumbani tuko wenyewe tusijemuona izrail
 
Last edited by a moderator:
Usiogope kwakuwa hujui utakufa lini na utakufaje cha muhimu sana ni kumuomba Mungu ufe vizuri kwa imani yako kwakuwa kama hujatengeneza ukiwa hai hutatengeneza ukiwa mfu...!

kifo hatari sana mkuu, kuna watu wanachinjwa mpk wanakufa au wanapata ajali huwa nawaza sana maumivu wanayopata, mbaya zaidi kinakuja katika mda usio tegemea.
 
Ni kwakuwa tumenyimwa kujua yajayo lakini maumivu ya kifo si kitu kwakuwa huja maramoja na huyasikii tena milele ni kwakuwa unaingia kwenye anga lingine (realm)ya maisha yaani hatua nyingine ambayo huko hakuna mwili uharibikao kama huku
 
Usiogope kwakuwa hujui utakufa lini na utakufaje cha muhimu sana ni kumuomba Mungu ufe vizuri kwa imani yako kwakuwa kama hujatengeneza ukiwa hai hutatengeneza ukiwa mfu...!

Maneno kama haya.........ndio huwa yananichochea zaidi kutafuta destination ya kwenda kula bata.........sasa angalia........nshaanza kugoogle beaches along Indian Ocean........na wewe ndio umenisababishia.............:fencing:
 
mshana jr.
Katika maneno yako ya ushauri uliyowahi mpa mtu, hakika Kimbley anatakiwa ayarudiye rudiye haya maneno uliyo mpa. Tengeneza njia zako kabla ya kufa, ukishakufa ni hukumu tu wala si vinginevyo. Ati kuna dini flani huwaambia watu kuwa wataombewa kwenye mazishi yao, wale waliozama na meli kule lake Victoria mliwaombea? Tengeneza njia zako mwenyewe kwani ulitenda mwenyewe.
 
Usiishie kula kwa macho doc. Jilipue hata hapo Mauritius na Shelisheli.
 
Ni kwakuwa tumenyimwa kujua yajayo lakini maumivu ya kifo si kitu kwakuwa huja maramoja na huyasikii tena milele ni kwakuwa unaingia kwenye anga lingine (realm)ya maisha yaani hatua nyingine ambayo huko hakuna mwili uharibikao kama huku

kwa hiyo kuna maisha mengine baada ya kifo?
 
mshana jr.
Katika maneno yako ya ushauri uliyowahi mpa mtu, hakika Kimbley anatakiwa ayarudiye rudiye haya maneno uliyo mpa. Tengeneza njia zako kabla ya kufa, ukishakufa ni hukumu tu wala si vinginevyo. Ati kuna dini flani huwaambia watu kuwa wataombewa kwenye mazishi yao, wale waliozama na meli kule lake Victoria mliwaombea? Tengeneza njia zako mwenyewe kwani ulitenda mwenyewe.

Kule mazishini mangatara huwa tunapeana tu neno la faraja lakini kiuhalisia kama uliharibu ukiwa hai hutatengeneza ukiwa mfu...!ni ukweli mchungu lakini hautakaa ubadilike
 
Last edited by a moderator:
Usiogope kwakuwa hujui utakufa lini na utakufaje cha muhimu sana ni kumuomba Mungu ufe vizuri kwa imani yako kwakuwa kama hujatengeneza ukiwa hai hutatengeneza ukiwa mfu...!

Ni kweli mshana lakini duuh,inaniwia ngumu kukubali hii kitu
 
mshana jr.
Katika maneno yako ya ushauri uliyowahi mpa mtu, hakika Kimbley anatakiwa ayarudiye rudiye haya maneno uliyo mpa. Tengeneza njia zako kabla ya kufa, ukishakufa ni hukumu tu wala si vinginevyo. Ati kuna dini flani huwaambia watu kuwa wataombewa kwenye mazishi yao, wale waliozama na meli kule lake Victoria mliwaombea? Tengeneza njia zako mwenyewe kwani ulitenda mwenyewe.

ni kweli mkuu wangu unachokisema!ila mmnh!!nawaza nikifa itakuwaje kaburini,nabaki naogopa tu.
 
Usiishie kula kwa macho doc. Jilipue hata hapo Mauritius na Shelisheli.

Ni swala la muda tu hilo.............

Preta.........Bata queen wa Kaskazini.............
 
Live your life Kimbley usijipe stress cha muhimu ni kutenda mema na kuepuka mabaya

Ni sahihi kabisa!nilimshuhudia baba yangu akikata roho nikiwa nimekaa nae kitandani,sitaki kukumbuka ile picha ila imenifanya niwe muoga sana,na allah aniongoze katika njia iliyonyooka.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu wangu unachokisema!ila mmnh!!nawaza nikifa itakuwaje kaburini,nabaki naogopa tu.

Kaburini hutaenda wewe bali huu mwili uharibikao hata wakati wa mazishi utakuwa unaona kila kitu ukiwa pembeni wabaya wako wanafiki wakupendao kwa dhati wenye majonzi ya kweli nawe siku hiyo Utawajua wote ila hutaweza kuwasemesha kwakuwa Hu binadamu tena bali roho
 
Back
Top Bottom