Confusion!!!

ContinousImprovement

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
290
268
I create my own problems and then hastle to solve them. Nikiyaangalia mapito yangu, mengi naona ni mimi mwenyewe nilikosea, kisha nikahangaika kutafuta majawabu ya changamoto nazopitia. Imekuwa kama chain sasa... Same routines.

Ni mimi tuu napitia hii hali ama kunawezangu?

Habari zenu wanajukwaa.
 
tunafanana mkuu. natumiaga mda kidgo sana kujianzishia tatizo ila kuja kulitatua inanichukua miezi au mwaka kabsaa.
 
I create my own problems and then hastle to solve them. Nikiyaangalia mapito yangu, mengi naona ni mimi mwenyewe nilikosea, kisha nikahangaika kutafuta majawabu ya changamoto nazopitia. Imekuwa kama chain sasa... Same routines.

Ni mimi tuu napitia hii hali ama kunawezangu?

Habari zenu wanajukwaa.
Dah yaan kila MTU ana mamb yake yanayombana na kumchanganya akili yake kwaiyo usiwaze na usikate tamaa tupo wengi mkuuuuu
 
Mkuu CI,unayoyasema ndio maisha halisi,cha msingi ni kushtuka na kubadilika mara unapoona umeanguka.
Maadam unaishi Bado unayo nafasi ya kujirekebisha Ila hutakiwi kukawia maana hujui ni muda gani umebakiza.
Soma historia ya Mzee KFC pia mpitie ndugu Malcom X ujifunze kutoka kwao.
 
Dah! This is soo true.
 
Kila mtu yupo hivyo usipate shida mkuu
Mtu anajitengenezea problem kwamba after 2 years apate 100M Tsh. Then unapata shida katika kutafuta. Huo ni mfano. So wote ni wajinga kwa style hiyo
 
I create my own problems and then hastle to solve them. Nikiyaangalia mapito yangu, mengi naona ni mimi mwenyewe nilikosea, kisha nikahangaika kutafuta majawabu ya changamoto nazopitia. Imekuwa kama chain sasa... Same routines.

Ni mimi tuu napitia hii hali ama kunawezangu?

Habari zenu wanajukwaa.
Umri ndio tatizo unapitia kipindi cha makuzi tegemea mengi
Profile yako inaonyesha umezaliwa mwaka 1970 Lakini naona ni typing error
 
Back
Top Bottom