Confused,I need your help!

Daah! Hivi kumbe kutofikishwa kileleni ni tatizo sugu la wanawake eeeh!! Aisee!!
 
Asante,noted with thax
 
Sure ndg hakuna jambo gumu kwa Mungu,tushaombewa,kisukari Hana,hiyo yote mitego ishafanywa mpaka basi.asante kwa ushauri
 
pole sn, mwambie ale sn tende na alambe sn asali ya nyuki wadogo walau mara mbili kwa siku. pia atafune vitunguu saumu, punje tatu, kutwa mara tatu kwa siku 14 asiteme chochote ameze kila kitu. Pia kuna vijitunda kam karanga mbichi Vinaitwa ALMOND vinapatikana sokoni Kariakoo kwenye maduka ya dawa za asili opposite na stend ya mabas ya mwenge((wanauza Buku tu) ni nzuri sn nazo anatafuna tu km karanga. I am Wishing u all the best!
 
Post nyingne nashindwa hata nitoe ushauri gani...poleni jaman...how hard it is...IS can tell...but uliapa mama angu for better for worse and this is the worst, try to figure it out 2gether...God bless
 
usikonde mama chanja chukua ushauri wangu. . . .asubuhi mpe mkate na asali apake badala ya jam na glass ya maziwa. . . .au leta mihogo mibichi hm yakutafuna. . . .au kuna dawa ya miti shamba unamwekea ktk chai au juisi ni pm nikupatie ila njia ya hii mwisho ujishike mama ktk wiki moja ya mwanzo utakiona kirambash
 
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.

acha ushetani we
 
Sure ndg hakuna jambo gumu kwa Mungu,tushaombewa,kisukari Hana,hiyo yote mitego ishafanywa mpaka basi.asante kwa ushauri

sawa dada yangu sasa fanya maombi ya kuatamaia kama kuku anavyoatamaia mayai mpaka atotoe na maanisha wewe ng`ang`ana na Mungu mpaka Mungu amfungue mmeo,kama vile Hana alipoomba kwa machozi mpaka alipopata uhakika wa kupata mtoto.Nilikuwa na tatizo la kutoka damu kwenye fizi nikipiga mswaki,sikuwa najisikia vizuri nikaombewa mara nyingi maana ni miaka zaidi 20,nikaanza kuomba mwenyewe na wakiita kuombewa sehemu sikuacha kuombewa sikumbuki hata siku niliyopokea muujiza maana nilishangaa tu nikipiga mswaki halihiyo ilisha isha trust..........Mungu hatamtesa mtu hata milele ajapomhuzunisha mtu atamfurahisha kwa wingi wa huruma zake...maombolezo 3
 
ehh,dada HONGERA KWANZA KW KUWA MWAMINIFU...Mi ht sijui nishauri nini aisee cz sijaingia huko kwny ndoa,bt daah,hv ndoa ndo mambo haya smtym..
 
ehh,dada HONGERA KWANZA KW KUWA MWAMINIFU...Mi ht sijui nishauri nini aisee cz sijaingia huko kwny ndoa,bt daah,hv ndoa ndo mambo haya smtym..

mwenzangu!! Mi mwenyewe nimeshangaa!!
 
Mama, usiwe na hofu kiasi hicho hata kuanza kutaka mengi. Huyo bado saana. utamwinjoy mpaka atii. Fuata yafuatayo;
Jifunze kumsifu siku hiyo anapo do. Mwambie hakuna siku kama hiyo tena umeona amekuja na ufundi mpya. Japo ni ulimi tu.
Mwanaume ni mjinga akisikia neno hilo kutoka kwako. Mwambie akiendele hivi utanenepa.
Pili. Mfanyie ambacho hujawahi kama kubadilisha position or style. Wengi tumezoea "Juu chini" badilisha, mwongoze kwa pasition nyingine. Mvizie siku hajaenda ulevini. Jifanye kudeka kuwa unaumwa na unajisikia joto umwombe akuogeshe. Hata kama ni nyumba ya kupanga, deka sana kuwa akukande hata kwa kitambaa. Mwombe umlalie tu huenda tumbo likakoma etc. yaani kwa njia yeyote akuguseguse tu na weye uleggee.
Tatu; Usimsumbue sana kwa matumizi. Fanya budget. Mwondolee wasiwasi usio wa lazima.
Mpe vyakula ulivyo elekezwa hapo juu. Kumbuka, ulevi ni njia potofu waiendeao wanaume wakidhani ni njia safi ya kujisahaulisha udhaifu wao; ukiona hivyo hata angekufumania asingekufanya chochote zaidi ya kuongeza ulevi.
Msaidie kwa kuzidi kuwa mwaminifu na kumtia moyo, hakuyapenda bali yamemfika na wa kumsaidia ni weye.
 
ehh,dada HONGERA KWANZA KW KUWA MWAMINIFU...Mi ht sijui nishauri nini aisee cz sijaingia huko kwny ndoa,bt daah,hv ndoa ndo mambo haya smtym..
Thank dear.yes dear,sometimes kuna challenges nyingi,bila kuwa committed huwezi kuvumilia.
 
Ushauri mzuri ajabu,umenitia nguvu sana,umevaa viatu vyangu kama vile.thanx a lot.Nitajitahidi kuwa mwaminifu kama nilivoapa that's why ninaomba ushauri.nitaufanyia kazi ushauri wako.
 

Mwambie anitafute nimpeleke kwa bibi yangu akapewe dawa za miti shamba. Ni kutapika na kuharisha tu basi. Nia ni kutoa sumu zilizolundikana mwili mwake. After some few weeks atakupiga mashine hadi utahama nyumba. I guarantee!

Mpe pole sana, nawe pole pia!
 
.asante,nia yangu sio Kuhama nyumba,ila ni kuwa in normal condition
 

Ushauri mzuri ajabu,umenitia nguvu sana,umevaa viatu vyangu kama vile.thanx a lot.Nitajitahidi kuwa mwaminifu kama nilivoapa that's why ninaomba ushauri.nitaufanyia kazi ushauri wako.

Mmmhhhhh..........hv mnadhani hili ni jambo rahisi sana eeehhhh. Ni gumu ajabu. You just dont have an idea kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…