Bado saana hata yakirudishwa tar25 kuna wale waliopewa mda mbaka tar30 mwezi huu jua nao wanatakiwa wapewe matokeo sawa na sisi.....kwa hilo mayb kadilia week baada ya tar30
hawa tcu wala hawaaminiki kabisa, leo wanasema hiki kesho kile, wala mwisho wa kuaaply jun30, july30, aug30, mpaka watasema oct30. Approval kitu gan wakati airtel washavujisha?! Shame upon you tcu.
hawa tcu wala hawaaminiki kabisa, leo wanasema hiki kesho kile, wala mwisho wa kuaaply jun30, july30, aug30, mpaka watasema oct30. Approval kitu gan wakati airtel washavujisha?! Shame upon you tcu.
mapritenda wakubwa hao tcu, third round mwisho 30aug, alafu approval 25aug, does it bring sense? Itakuwaje kwa watakaoapply 30aug? Let us be great thinkers, this is a drama and tcu are acting untittled movie.