Elections 2010 CONFIRMED: Phillip Marmo is out - a humiliating defeat for a longtime MP

Babati mjini sijaelewa kabisa yale matokeo
sumbawanga sitaki kuamini
kigoma ni hasira tupu
shinyanga ivi JK amedhamilia kumwaga damu hapo?
nk nk
 
Unajua sasa hivi wapo busy na votes rigging kwa ajiri ya JK...kila Mbunge ameachwa afe na lwake!
 
Bado tunasubiri ubungo na kawe mana kuna wamama wa ccm wanajifanya wao ndo wao,Makongo juu tumepiga chini madiwani wao sasa tunasubiri kutangazwa mbunge wetu Halima James Mdee.
 
Hizi ni habari nzuri sana kwa wapenda mabadiriko wote, hongera sana kwa bwana Akoonay, huyu mpuuzi alikuwa na kiburi na dharau sana!
Si utani jana na leo ni siku nzuri... inanikumbusha wale wanapinduzi wa makumbusho kisiwani CUFwalipokuwa wanashangilia ushindi wa diwani wao jana... Wamebana Wameachia.... kama kuna mtu ana ile clip naiomba sana, inafurahisha kuona watu wamehamasika kama yule kijana aliyehojiwa kwenye TV, kuna TV stations akianza kuongea dogo wanakata matangazo
 
Nimefurai Mongela na Uyu Marmo kungolewa ila wangeongezea na Chiligati hawa hujifanya wana Hati miliki
 
Marmo aliniudhi sana kwa suala la Mgombea Binafsi. Pengine akili ya kawaida itamrudia akiwa nje ya Bunge ingawa naye anatajwatajwa kwenye USPIKA.
 
Well some got to say it..

Akoonay has almost 40,000 votes against under 20,000!!!

This is the best news so far, ladies and gents, we can make CCM officially the OPPOSITION PARTY let us take them back to the drawing board, lets be united in celebrating the small victories and winnings, let us ensure the new parliament has the best 'heads' heheh vichwaz to provoke, discuss and challenge hoja mbofumbofu !
 
Huu ni mwaka wa ukombozi. Hongereni wapiganaji. Safari ya kuikomboa nchi inakaribia kuisha.

Nguvu ya umma inafanya kazi.
 
Jamaa alikatataa kusaini matokeo confirmed ITV ila Pamoja na kukataa kusaini matokeo watu washamtangaza mshindi.
 
Ngoja niwasalimu ndugu zangi wa Mbulu kwa Ki-iraq Saitaa, Aidomaa Aidorii mmenifurahisha sana huyu jamaa alikuwa bungeni toka enzi za kina chief E;ias Sarwatt nadhani ndio alimuachia ubunge miaka ya 70-80 duh Wambulu mmenifurahisha sana nadhani leo ni raha tupu pale Endagikot, Kainamu, Harka, Issale, Gehandu n.k
Mkuu ningekuwa Mbulu ningetafuta palipo na mnada leo nikatafune ubavu mmoja wa ng'ombe na safari za motooo!!
 
This is the best news so far, ladies and gents, we can make CCM officially the OPPOSITION PARTY let us take them back to the drawing board, lets be united in celebrating the small victories and winnings, let us ensure the new parliament has the best 'heads' heheh vichwaz to provoke, discuss and challenge hoja mbofumbofu !
you can say that again and again
 
Back
Top Bottom