Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya wakaldayo! Maana mimi Mwenyezi-Mungu naingamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui anaunguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chako inaongezeka. Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Redio one wamethibitisha ushindi wa CUF kwa albino kule LINDI bravo!Napata taarifa hapa Mheshimiwa mgombea wa CUF Barwan ambaye ni mlemavu wa ngozi ameshinda kiti cha ubunge na mbunge mtetezi Abdulaziz ameconcede matokeo!
Source: BBC Swahili
kampeni yake ya mwisho alisema jamaa albino wanatoa harufu mbaya hawezi kuingia mjengoni, yule jamaa ana kashfa mbaya. Samahani walemavu wa ngozi ila huyu jamaa kaongea hayohuyu jamaa si ndiye aliyesema kuwa maalbino wana ukosefu wa vitamin c?
Naona wana lindi wamemuadhibu.
Viva opposition
the wind of change is blowing.. with a clear message.. change is necessary.